exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,263
- 3,897
Mwendelezo wa mgomo malefa cheki hii Yanga kunyimwa penati waziwazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba jana nae kanyimwa goli dahMwendelezo wa mgomo malefa cheki hii yanga kunyimwa penart waziwaziView attachment 1351286
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendelezo wa mgomo malefa cheki hii yanga kunyimwa penart waziwaziView attachment 1351286
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura futbol klabu wazee wa kulialia
Jr[emoji769]
Braza Embu paki pembeni uandike vizuriMakosa ni kati ya nguzi muhimu zinazoshikilia sika, pia unaweza ukasoma kati ya misingi inayoibeba soka, Makisa ni mojawapo.
Hivyo basi hilo kosa hapo siyo la kumlaumu kabisa referee, kama binaadam ni rahisi sana kwa refa kufanya maamuzi ya kimakosa katika mazingira yale.
Nyie mbumbumbu mnashida SanaVyura futbol klabu wazee wa kulialia
Jr[emoji769]
Mbona Lipuli walinyimwa goli hukusemaMwendelezo wa mgomo malefa cheki hii yanga kunyimwa penart waziwaziView attachment 1351286
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuuYANGA NDIO TIMU PEKEE HAPA NCHINI INAYOFUNGA MAGOLI HALAFU WAPINZANI WANABAKI WANALALAMIKIANA WENYEWE NA SI WAAMUZI.
PIA NDIO TIMU PEKEE INAYOSHINDA KWA JASHO LAKE PAMOJA NA KUONEWA WAZIWAZI KAMA JANA
Ee bwSasa ingekuwa ni Mbeleko FC..
Leo angekuwa na screen take anaonyesha kila mtu.
Kwa Yanga ni vitu vidogo hivyo. Afadhali tunyimwe kuliko tupewe goli la magumashi
Halafu Yanga hata ikishinda inachukulia poa tu.Sasa ingekuwa ni Mbeleko FC. Leo angekuwa na screen take anaonyesha kila mtu.
Kwa Yanga ni vitu vidogo hivyo. Afadhali tunyimwe kuliko tupewe goli la magumashi