Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220625_10170683140.jpg

Timu underdog inaipangia CAF ianzie ugenini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyo ni kiongozi mkubwa tu kwenye timu, imagine shabiki wa kawaida wa hiyo timu aliepo hapa Utezi Uyole ufahamu wake ukoje.
Kama miji huifahamu usitaje. Utezi ndio wapi,kenge wewe?. Halafu kwa kusikia kwako unafikiri Itezi uyole ni kijijini?. Hayo ni maeneo katika jiji la mbeya. Asilimia kubwa pia wana simu janja hapo
 
Kama miji huifahamu usitaje. Utezi ndio wapi,kenge wewe?. Halafu kwa kusikia kwako unafikiri Itezi uyole ni kijijini?. Hayo ni maeneo katika jiji la mbeya. Asilimia kubwa pia wana simu janja hapo
Kwanza, kwenye keyboard ya simu yangu irabu 'U' na 'I' zipo karibu so hiyo ni typing error.

Pili hakuna sehemu nimesema Itezi ni kijijini mana hapo kuwa kijijini au mjini haina chochote na hoja niliyowasilisha, ingawaje ni kijijini kweli.

Tatu, sijasema watu wa Itezi hawana simu janja... Na mtu kuwa na simu janja haina maana kuwa atakua na akili, mfano mzuri ni wewe hapo mkuu.
 
Morisoni +Manara+mwakalebela+ Aina ya Mashabiki wake = vichaa fc.
Na haya ndiyo tugemee kuwa yanazungumzwa huko .
 
Kama miji huifahamu usitaje. Utezi ndio wapi,kenge wewe?. Halafu kwa kusikia kwako unafikiri Itezi uyole ni kijijini?. Hayo ni maeneo katika jiji la mbeya. Asilimia kubwa pia wana simu janja hapo
kijiji iwe Mbeya halafu wasiwe washamba wakati mbeya yenyewe washamba
 
Back
Top Bottom