Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

Wataanzia home kama underdog ikitokea wakatoka sare kwa Mkapa safari yao itaishia hapo.
 
Hakuna namna
 
Attachments

  • FB_IMG_16561576418101246.jpg
    FB_IMG_16561576418101246.jpg
    30.4 KB · Views: 8
Naona kundi kubwa la watu kwenye huu uzi wakijitekenya, na kucheka wenyewe! Nadhani kuna tatizo mahali! Siyo bure.
 
Naona kundi kubwa la watu kwenye huu uzi wakijitekenya, na kucheka wenyewe! Nadhani kuna tatizo mahali! Siyo bure.
Mkuu hapa bila kupepesa macho Fred kachemsha na ameifedhehesha Yanga. Nafikiri amesema haya maneno kichwani amepakia haya mauchafu
 
Attachments

  • JamiiForums-1880515644.jpeg
    JamiiForums-1880515644.jpeg
    63.7 KB · Views: 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyo ni kiongozi mkubwa tu kwenye timu, imagine shabiki wa kawaida wa hiyo timu aliepo hapa Itezi Uyole ufahamu wake ukoje.
Hana ukubwa wowte kutoka makamu mwenyekiti hadi kuwa chawa wa hersi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyo ni kiongozi mkubwa tu kwenye timu, imagine shabiki wa kawaida wa hiyo timu aliepo hapa Itezi Uyole ufahamu wake ukoje.
Maneno ya Haji hayakupotea bure. Shuhudia sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uto katika ubora wao. Loooh!!!
 
Halafu beki wao tegemeo kimataifa Ni kibwana shomari.
 
Back
Top Bottom