Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Simba ipo no 1 Afrika?? Na hamsemi??
Rage alikuwa sahihi kuwaita mbu3
 
Wabaki na robo fainali yao

Waombe Mungu tusichukue lile kombe

Tukichukua watabaki na tambo Gani tena !?

Maana kama ni robo fainali CL ni rahisi kutinga kuliko kuchukua kombe
 
berkane bingwa mtetezi wa kombe la looser amefikaje hapo top ten?
kujitoa akili inahitaji moyo
Unafikiri Berkane aliibuka tu mwaka mmoja? Hebu uliza tukuonyeshe CAF inavyopiga hesabu ya miaka mitano
 
Wabaki na robo fainali yao, Waombe Mungu tusichukue lile kombe, Tukichukua watabaki na tambo Gani tena !?
Mzee una mipango ya mbali, yaani unaweka hadi imagination kwamba mtakapochukua kombe itakuwaje! 🤣
 
Kuset standard ni suala la consistency, sio mwaka mmoja, labda kama huelewi maana yake [emoji1787]
Mkuu haya mambo ya standard yamekuzidi uwezo, ungebakia tu kulekule kwenye mtoto akishakuwa nafasi ya kwanza hawezi kupanda zaidi, maana ndipo ilipofikia Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga ndio tunaenda kuset standard ya kabumbu la nchi hii, Achana na wale wazee wa kombe la robo fainali
Timu kama TP Mazembe ilishaset standard, kufika nusu fainali ilikuwa ni kawaida. Hiyo ni kutokana na consistency ya miaka kadhaa mfululizo. Huwezi ukakurupuka na mwaka wako mmoja ukaja kuwaambia watu eti umest standard 🤣
 
Mkuu haya mambo ya standard yamekuzidi uwezo, ungebakia tu kulekule kwenye mtoto akishakuwa nafasi ya kwanza hawezi kupanda zaidi, maana ndipo ilipofikia Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Au unadhani ni standard seven? 🤣🤣🤣
 
Ebooo? Simba number 1 Afrika? Labda Afrika sana
 
Mzee una mipango ya mbali, yaani unaweka hadi imagination kwamba mtakapochukua kombe itakuwaje! 🤣
Naweka mipango Kwa kuwa hata nyie hakuna mlichoshinda kimataifa iwe ni CL au CC

Kama kipo weka hapa

Kwahiyo the field is still unconquerd
 
Timu kama TP Mazembe ilishaset standard, kufika nusu fainali ilikuwa ni kawaida. Hiyo ni kutokana na consistency ya miaka kadhaa mfululizo. Huwezi ukakurupuka na mwaka wako mmoja ukaja kuwaambia watu eti umest standard [emoji1787]
Umeweka standard na haujafika destination [emoji848][emoji848] Rage alikuwa very right
 
najua kila kitu unioneshe nini wewe kilaza?
Sasa kama unajua unalinganishaje Yanga na Berkane? Manara ajengewe mnara katikati ya Msimbazi na jangwani, maana idadi ya wawili hata haiongezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…