Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Wivu kivipi?Umepewa uhalisia wakati wengine mnaleta kulinganisha visivyowezekana.Mkubali tu.Simba haipo daraja sawa na utopolo!
Mkuu bandiko langu hakuna mahala linasema mikia ipo level sawa na utopolo, linaongelea namna utopolo walivo jump kutoka 75-28 within a single season na nikapredict mwisho wa season watakuwa wapi, haya mengine naona ni mapovu yenu tu yanayosababishwa na kutokuamini mnachokiona kutoka utopoloni
 
Na ulipokwama au kuonesha udhaifu ni pale ulipolinganisha au kutoa reference ya waliopanda nafasi nne kwa muda ulioutaja.Umeonesha una uwalakini.
 
Na nilichokigundua ni kuwa kila hatua ambayo Yanga inafika, Simba wanakuja na sababu mpya za kutoitambua iyo hatua
 
Ila Yanga ina Mashabiki wenye akili za kitumpikere kabisaaaa!! Hivi ingetokea mwaka huu simba ndo kafuruhushwa toka klabu bingwa hadi kombe la losers halafu nyie matumpikere mkabaki klabu bingwa tungeficha wapi nyuso zetu?

Kama mnashiriki kombe la waliofeli bado kelele ni nyingi kiasi hiki mngekuwa klabu bingwa nadhani mngetembea uchi
 
Mshamba kweli basi bingwa angekuwa mmoja kila cku ndomana wanaangalia idadi ya makombe hawaangalii idadi ya Robo fainali
Kama wanaangalia vikombe, wametumia kigezo gani kumuweka TP Mazembe nafasi ya 13 na SIMBA SPORTS CLUB, SUNDERLAND UNDERLINE ABIJO nafasi ya 9?
 
Angalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.

Na ndio maana juzi mmejitoa ufahamu mnasema yanga ndio timu ya kwanza kwa timu za Tanzania kuongoza makundi.Mmesahau simba aliongoza kundi lililokuwa na bingwa mtetezi Al Ahly na Al Ahly huyohuyo ndie aliyebeba ubingwa msimu ule.

Nyie mmeongoza kundi ambalo mmeikuta mazembe ipo ICU[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ndio utuambie unatuuliza maswali tena
 
Wewe ndio utuambie unatuuliza maswali tena
Kuna utopolonis mwenzio kasema wanaangalia idadi ya vikombe.
Jibu ni kuwa wanaangalia perfomance pia ndio maana TP Mazembe pamoja na kubeba ubingwa wa klabu bingwa lakini inapitwa na simba ambayo haijawahi kuchukua ubingwa.
 
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.

Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..

Povu ruksaa
Mkuu nimekuwa nakutana tu na hizi nyuzi za kusema Yanga imepanda nafasi za ranking ila sijafanikiwa kuona hizo rank

Kama hutojali naomba utuwekee hizo Ranking za CAF nasie tujionee ili tutambe Kwa Evidence
 
Mkuu ukisubiri evidence ndio utambe utakuta wenzio wameshamaliza kutamba, hii ndio jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari yoyote utakayoikuta humu we isapoti au ipinge, humu hakuitaji utumie akili sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom