mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #61
Nadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabuHivi mnara wa Rage, Luc Eymael na Manara, upi utavutia watu wengi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]