Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Hivi mnara wa Rage, Luc Eymael na Manara, upi utavutia watu wengi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabu
 
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.

Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..

Povu ruksaa
Sawasawa.Hao walioganda tu wapo nafasi ya ngapi na wapo kikombe gani Afrika?Wamewazidi viwango au hawajawazidi?Unabashiri mtawafikia lini?
NB:Kumbe bila kujilinganisha nao maisha yenu hayaendi?
 
Ni Wivu tu[emoji23][emoji23]
 
Nadhani mnara wa mwenyekiti wa klabu ndugu Rage ndio utavutia watalii wengi maana yule ni top figure, pia alikuwa ni member of Parliament na zaidi ya yote yule ni Al haji mtu wa Mungu. Kauli yake Ina ukweli mtupu tena aliwaambia wanasimba wote ndani ya mkutano mkuu wa klabu
Aahaaa
 
Mimi nadhani minara ya weupe ndio itavutia zaidi
 
Back
Top Bottom