Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mna kombe lolote!!!?Kwa hiyo unataka kila raia wa Tanzania awe rais wa nchi?Mbona umekazania visivyowezekana?
Kwa akili zako,unataka kila timu hapa Afrika iwe na hivyo vikombe?Nani atashika nafasi za pili na kuendelea?Acheni fikra kama cave-men!Mna kombe lolote huko CL na CC!?
M
Mna kombe lolote!!!?
Jibu swaliKwa akili zako,unataka kila timu hapa Afrika iwe na hivyo vikombe?Nani atashika nafasi za pili na kuendelea?Acheni fikra kama cave-men!
Mkuu bandiko langu hakuna mahala linasema mikia ipo level sawa na utopolo, linaongelea namna utopolo walivo jump kutoka 75-28 within a single season na nikapredict mwisho wa season watakuwa wapi, haya mengine naona ni mapovu yenu tu yanayosababishwa na kutokuamini mnachokiona kutoka utopoloniWivu kivipi?Umepewa uhalisia wakati wengine mnaleta kulinganisha visivyowezekana.Mkubali tu.Simba haipo daraja sawa na utopolo!
Wewe umejibu maswali yangu?Jibu swali
Mna kombe lolote huko CL au CC!?
Na ulipokwama au kuonesha udhaifu ni pale ulipolinganisha au kutoa reference ya waliopanda nafasi nne kwa muda ulioutaja.Umeonesha una uwalakini.Mkuu bandiko langu hakuna mahala linasema mikia ipo level sawa na utopolo, linaongelea namna utopolo walivo jump kutoka 75-28 within a single season na nikapredict mwisho wa season watakuwa wapi, haya mengine naona ni mapovu yenu tu yanayosababishwa na kutokuamini mnachokiona kutoka utopoloni
Wapi hapo labda? Hebu pataje na onesha ni timu gani nimeitaja?Na ulipokwama au kuonesha udhaifu ni pale ulipolinganisha au kutoa reference ya waliopanda nafasi nne kwa muda ulioutaja.Umeonesha una uwalakini.
Kwa akili zako,unataka kila timu hapa Afrika iwe na hivyo vikombe?Nani atashika nafasi za pili na kuendelea?Acheni fikra kama cave-men!
Hebu mwambie huyo mkiaMshamba kweli basi bingwa angekuwa mmoja kila cku ndomana wanaangalia idadi ya makombe hawaangalii idadi ya Robo fainali
Kama wanaangalia vikombe, wametumia kigezo gani kumuweka TP Mazembe nafasi ya 13 na SIMBA SPORTS CLUB, SUNDERLAND UNDERLINE ABIJO nafasi ya 9?Mshamba kweli basi bingwa angekuwa mmoja kila cku ndomana wanaangalia idadi ya makombe hawaangalii idadi ya Robo fainali
Wewe ndio utuambie unatuuliza maswali tenaAngalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.
Na ndio maana juzi mmejitoa ufahamu mnasema yanga ndio timu ya kwanza kwa timu za Tanzania kuongoza makundi.Mmesahau simba aliongoza kundi lililokuwa na bingwa mtetezi Al Ahly na Al Ahly huyohuyo ndie aliyebeba ubingwa msimu ule.
Nyie mmeongoza kundi ambalo mmeikuta mazembe ipo ICU[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna utopolonis mwenzio kasema wanaangalia idadi ya vikombe.Wewe ndio utuambie unatuuliza maswali tena
Naunga mkono hojaMshamba kweli basi bingwa angekuwa mmoja kila cku ndomana wanaangalia idadi ya makombe hawaangalii idadi ya Robo fainali
Mkuu nimekuwa nakutana tu na hizi nyuzi za kusema Yanga imepanda nafasi za ranking ila sijafanikiwa kuona hizo rankHuu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa
Mkuu ukisubiri evidence ndio utambe utakuta wenzio wameshamaliza kutamba, hii ndio jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari yoyote utakayoikuta humu we isapoti au ipinge, humu hakuitaji utumie akili sana[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimekuwa nakutana tu na hizi nyuzi za kusema Yanga imepanda nafasi za ranking ila sijafanikiwa kuona hizo rank
Kama hutojali naomba utuwekee hizo Ranking za CAF nasie tujionee ili tutambe Kwa Evidence