Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Mkuu ukisubiri evidence ndio utambe utakuta wenzio wameshamaliza kutamba, hii ndio jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari yoyote utakayoikuta humu we isapoti au ipinge, humu hakuitaji utumie akili sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolo katika ubora
 
Hapo nimekupata mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…