Hizo tumu ulizizitaja yumkini hazina ukaribu na viongozi wa Serikali za nchi zao.Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa
Huu ni upuuzi Yanga ina mashabiki na wafuasi wanaomkubali na wasiomkubali Rais Samia, naona sio hekima kwetu sisi Wanachama
Yanga ina mashabiki Dunia nzima, kwanini wachague kumpelekea Rais wa Tanganyika tu
Timu zote zilizobeba ubingwa duniani,sijaona timu yoyote iliyopeleka kombe Ikulu ya nchi yoyote Dunia
Pyramid FC wameshinda kombe kubwa Africa ila hawajapeleka kombe wala medali Ikulu ya Misri
PSG wameshinda EUFA ila hawajapeleka kombe Ikulu ya France,
Liverpool hawakupeleka kombe Ikulu ya England
Nashauri kama Yanga wanataka kukuwa na kuwa club kubwa ni vyema kuachana na hizi cheap politics
Club ya mpira ni vyema ikafanya shughuli za kimpira na sio uswahili
Tulia, alishapiga marufuku kombe lolote la Ubingwa wa hapa Tanzania kulipeleka Bungeni! Alishasema, kama ni kupeleka huko, basi liwe la nje ya Tanzania, kama la Klabu bingwa Afrika, Shirikisho nk.YANGA=CCM.SIMBA WAMTAFUTE MTU WAO WAKUMPELEKA IKULU
MbumbumbuTulia, alishapiga marufuku kombe lolote la Ubingwa wa hapa Tanzania kulipeleka Bungeni! Alishasema, kama ni kupeleka huko, basi liwe la nje ya Tanzania, kama la Klabu bingwa Afrika, Shirikisho nk.
Na huko Ikulu, tulitegemea kwani aliyeko huko ni Mwenzao! Na jana alionyesha furaha, kwa kuwapongeza mara tu, baada ya mpira kuisha!
Kama Yanga ni timu ya @wananchi, je sisi Wana CHADEMA tunathamiwa kiasi Hani na club yetu tuipendayo?Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa
Huu ni upuuzi Yanga ina mashabiki na wafuasi wanaomkubali na wasiomkubali Rais Samia, naona sio hekima kwetu sisi Wanachama
Yanga ina mashabiki Dunia nzima, kwanini wachague kumpelekea Rais wa Tanganyika tu
Timu zote zilizobeba ubingwa duniani,sijaona timu yoyote iliyopeleka kombe Ikulu ya nchi yoyote Dunia
Pyramid FC wameshinda kombe kubwa Africa ila hawajapeleka kombe wala medali Ikulu ya Misri
PSG wameshinda EUFA ila hawajapeleka kombe Ikulu ya France,
Liverpool hawakupeleka kombe Ikulu ya England
Nashauri kama Yanga wanataka kukuwa na kuwa club kubwa ni vyema kuachana na hizi cheap politics
Club ya mpira ni vyema ikafanya shughuli za kimpira na sio uswahili
Very true. Furaha yetu isiwe attached na hizi siasa zetu.Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia