Yanga kupeleka kombe la ubingwa NBC PL ikulu, ni kutukera mashabiki

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia

Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu

Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa

Huu ni upuuzi Yanga ina mashabiki na wafuasi wanaomkubali na wasiomkubali Rais Samia, naona sio hekima kwetu sisi Wanachama

Yanga ina mashabiki Dunia nzima, kwanini wachague kumpelekea Rais wa Tanganyika tu

Timu zote zilizobeba ubingwa duniani,sijaona timu yoyote iliyopeleka kombe Ikulu ya nchi yoyote Dunia

Pyramid FC wameshinda kombe kubwa Africa ila hawajapeleka kombe wala medali Ikulu ya Misri

PSG wameshinda EUFA ila hawajapeleka kombe Ikulu ya France,
Liverpool hawakupeleka kombe Ikulu ya England

Nashauri kama Yanga wanataka kukuwa na kuwa club kubwa ni vyema kuachana na hizi cheap politics

Club ya mpira ni vyema ikafanya shughuli za kimpira na sio uswahili
 
Hizo tumu ulizizitaja yumkini hazina ukaribu na viongozi wa Serikali za nchi zao.
Ingekua kosa kama Uto watapeleka kombe kwa Mwenyekiti wa CCM, lakini Rais ni wa wote whether unamkubali or not. Kwahiyo sioni tatizo hapo
Yanga oyee
Yanga bingwa
SSH 2025 mitano tena.
Wasiemtaka na wajinyonge.
 
YANGA=CCM.SIMBA WAMTAFUTE MTU WAO WAKUMPELEKA IKULU
Tulia, alishapiga marufuku kombe lolote la Ubingwa wa hapa Tanzania kulipeleka Bungeni! Alishasema, kama ni kupeleka huko, basi liwe la nje ya Tanzania, kama la Klabu bingwa Afrika, Shirikisho nk.
Na huko Ikulu, tulitegemea kwani aliyeko huko ni Mwenzao! Na jana alionyesha furaha, kwa kuwapongeza mara tu, baada ya mpira kuisha!
 
Mbumbumbu
 
Siwanampelekea yule al9wapambania mpaka wakalipata, aliyepora mamlaka ya TFF na kuyachukua yeye na kuamrisha maamuzi yafanyike yale ambayo timu yake ilikuwa ikiyataka na ndo yalofanyika. Mbona mambo yapo wazi kabisa
 
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia

Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu

Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa

Huu ni upuuzi Yanga ina mashabiki na wafuasi wanaomkubali na wasiomkubali Rais Samia, naona sio hekima kwetu sisi Wanachama

Yanga ina mashabiki Dunia nzima, kwanini wachague kumpelekea Rais wa Tanganyika tu

Timu zote zilizobeba ubingwa duniani,sijaona timu yoyote iliyopeleka kombe Ikulu ya nchi yoyote Dunia

Pyramid FC wameshinda kombe kubwa Africa ila hawajapeleka kombe wala medali Ikulu ya Misri

PSG wameshinda EUFA ila hawajapeleka kombe Ikulu ya France,
Liverpool hawakupeleka kombe Ikulu ya England

Nashauri kama Yanga wanataka kukuwa na kuwa club kubwa ni vyema kuachana na hizi cheap politics

Club ya mpira ni vyema ikafanya shughuli za kimpira na sio uswahili
Kama Yanga ni timu ya @wananchi, je sisi Wana CHADEMA tunathamiwa kiasi Hani na club yetu tuipendayo?
 
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia

Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu

Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa

Huu ni upuuzi Yanga ina mashabiki na wafuasi wanaomkubali na wasiomkubali Rais Samia, naona sio hekima kwetu sisi Wanachama

Yanga ina mashabiki Dunia nzima, kwanini wachague kumpelekea Rais wa Tanganyika tu

Timu zote zilizobeba ubingwa duniani,sijaona timu yoyote iliyopeleka kombe Ikulu ya nchi yoyote Dunia

Pyramid FC wameshinda kombe kubwa Africa ila hawajapeleka kombe wala medali Ikulu ya Misri

PSG wameshinda EUFA ila hawajapeleka kombe Ikulu ya France,
Liverpool hawakupeleka kombe Ikulu ya England

Nashauri kama Yanga wanataka kukuwa na kuwa club kubwa ni vyema kuachana na hizi cheap politics

Club ya mpira ni vyema ikafanya shughuli za kimpira na sio uswahili
Very true. Furaha yetu isiwe attached na hizi siasa zetu.
Hapo yanga anazingua kinoma.
 
Wakilipeleka itakuwa ni faraja kubwa sana kwa mashabiki wa simba. Kwa sababu wanafahamu fika baadhi ya mashabiki wa Yanga hatuungi mkono huo uchawa wa baadhi ya viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom