Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Ndio huyu?Ile mechi ya Simba ukitabiri sawa ngoja tuone na hii
YeahNdio huyu?
Mtabiri tambitambi[emoji23][emoji23]Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
Alisema kuwa Simba itatoa sare ya 1 kwa 1 kwa Mkapa, pia alisema Yanga atafungwa goli mbili na rivers. Aliyopatia ni ile aliyosema Simba ijiandae kwa penati.Yeah