Yanga kusare 1-1 na Marumo

Yanga kusare 1-1 na Marumo

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
 
Mtabiri tambitambi[emoji23][emoji23]
Screenshot_20230515-205826.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230515-205919.jpg
    Screenshot_20230515-205919.jpg
    52.9 KB · Views: 2
Sawa mtabiri kuna muda hua unapatia Ila this time mh sijui...
 
Yanga wanafunga si chini ya goli 2. Tena kipindi cha kwanza... Marumo wanaweza kupata goli moja kwa bahati sana
 
Back
Top Bottom