njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ujue ile billions 12 ya sportspesa imejumuisha kama watachukua ubingwa wa Afrika lakini hilo halisemwi ,wewe unaweza kuogopa ila wajuba wa jangwani/ salamander mwaka huu wamesema wanatoboa hadi fainali ya CAf champions league ndiyo maana boss kubwa lao lishaahidi billion moja kwa hilo.
Tarehe 6 siku ya mwananchi...mbali na shughuli zoooote hizo ila the greatest Hajj manara, afisa habari bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania, mtu mnyenyekevu, mstaarabu, mpangilia hoja, msomi mwenye degree mbili kutoka south africa na china atapanda jukwaani kama mfanyakazi wa GSM siyomsemaji wa yanga ili kushangilia na wana yanga in advance kufanikiwa kwao kuingia fainali ya afrika na fataki zitapigwa juu kushangilia mafanikio hayo.
Pia kareem mandonga atatangazwa kama balozi wa club na anawakilisha yule bondia aliyepo kwenye logo kama unavyoona hapa kwenye picha kasimamishwa kuendana na kilichopo kwenye logo..bado mcheza netball hajapatikana.