Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.

Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano.

Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
 
Sawa
 
Wacha kupiga ramri hapa; sisi tuko bize na maandalizi ya fainali wewe unaleta ramri hapa. Tutakujibu baada ya kumaliza fainali.
 
Kibri na uongo kinapeperusha mafanikio kwa kasi ya Kimbunga. Utopolo wamekuwa na sifa hizi mbili kupita maelezo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom