Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
SawaKwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano.
Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
HakikaSawa
Wacha kupiga ramri hapa; sisi tuko bize na maandalizi ya fainali wewe unaleta ramri hapa. Tutakujibu baada ya kumaliza fainali.Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano.
Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
SawaWacha kupiga ramri hapa; sisi tuko bize na maandalizi ya fainali wewe unaleta ramri hapa. Tutakujibu baada ya kumaliza fainali.
SawaKibri na uongo kinapeperusha mafanikio kwa kasi ya Kimbunga. Utopolo wamekuwa na sifa hizi mbili kupita maelezo.