Yanga kushindwa kutinga robo fainali sababu kubwa

Unajua uwekezaji wa Man Utd Man City, Real Madrid ni kiasi Gani?
Yanga wamepata Matokeo ya Mpira.
Kuna wakati utakua na Kila kitu ila hautapata Matokeo unayo yataka ndivyo soka lilivyo.
Jana Al Ahly alikua yupo nyubani na anacheza na Orlando Pirate Lengo lilikua washinde waongoze Kundi.
Kumbuka Budget ya Ahly hakuna klabu yoyote Africa inayo lingana nayo.
Matokeo ndani ya Uwanja Al Ahly kafungwa 2 -1 na mpira wa Orlando ulikua moto.
Hivyo ndivyo Soka lilivyo, Kuna wakati hupati unacho stahili bahati Ina amua.
Acha kuandika utopolo basi aisee....
 
Msitafute mchawi yote haya yamesababishwa na mambo yafuatayo;

1.Usajili wa kukomoana(mihemko).Hakukuwa na haja ya Yanga kuwasajili Chama , Baleke na Dube . Hizo sajili zililenga kuwakomoa simba na Azam lakini ukweli ni kwamba uwezo wao kwa sasa ni mdogo mno.

2.Unywaji wa supu ya vibudu kupita kiasi.Mungu hapendi hii kitu ila mnalazimisha tu. Wachezaji walilewa sifa na kujiona wanaweza Sana wakasahau majukumu yao

3.Ununuaji wa mechi kwa timu za ligi kuu ya NBC umewafanya mjione mna timu nzuri kumbe ushindi wa mchongo hali inayosababisha mshindwe kubaini madhaifu yenu.

4.Marefa wa NBCPL wamewadekeza Sana wachezaji wenu . Hata wakifanya makosa ya wazi wao ni kufunika tu.Rejea mechi ya simba vs Yanga , Kibu alifanyiwa makosa zaidi ya mara mbili ndani ya 18 lakini Kayoko akapeta.Hali hii husabisha washindwe kujiamini wanapochezeshwa na marefa wa nje.

5. Timu ina vibabu wengi mno. Chama 37+
Aucho 37+
Dube 33+
Boka Njolinjoli 32+
Pacome 32+
Diara 33+
Hakuna mechi ngumu kama ili ubaki mashindanoni lazima yafuatayo yote yawe TRUE;
  • Ushinde next match
  • Timu nyingine (closest rival) kwenye group ishindwe
Ni mtihani sana. The only advantage waliyokuwa nayo Yanga jana ni "kucheza nyumbani"!
 
Msitafute mchawi yote haya yamesababishwa na mambo yafuatayo;

1.Usajili wa kukomoana(mihemko).Hakukuwa na haja ya Yanga kuwasajili Chama , Baleke na Dube . Hizo sajili zililenga kuwakomoa simba na Azam lakini ukweli ni kwamba uwezo wao kwa sasa ni mdogo mno.

2.Unywaji wa supu ya vibudu kupita kiasi.Mungu hapendi hii kitu ila mnalazimisha tu. Wachezaji walilewa sifa na kujiona wanaweza Sana wakasahau majukumu yao

3.Ununuaji wa mechi kwa timu za ligi kuu ya NBC umewafanya mjione mna timu nzuri kumbe ushindi wa mchongo hali inayosababisha mshindwe kubaini madhaifu yenu.

4.Marefa wa NBCPL wamewadekeza Sana wachezaji wenu . Hata wakifanya makosa ya wazi wao ni kufunika tu.Rejea mechi ya simba vs Yanga , Kibu alifanyiwa makosa zaidi ya mara mbili ndani ya 18 lakini Kayoko akapeta.Hali hii husabisha washindwe kujiamini wanapochezeshwa na marefa wa nje.

5. Timu ina vibabu wengi mno. Chama 37+
Aucho 37+
Dube 33+
Boka Njolinjoli 32+
Pacome 32+
Diara 33+
Ukweli mchungu huu.
 
Unajua uwekezaji wa Man Utd Man City, Real Madrid ni kiasi Gani?
Yanga wamepata Matokeo ya Mpira.
Kuna wakati utakua na Kila kitu ila hautapata Matokeo unayo yataka ndivyo soka lilivyo.
Jana Al Ahly alikua yupo nyubani na anacheza na Orlando Pirate Lengo lilikua washinde waongoze Kundi.
Kumbuka Budget ya Ahly hakuna klabu yoyote Africa inayo lingana nayo.
Matokeo ndani ya Uwanja Al Ahly kafungwa 2 -1 na mpira wa Orlando ulikua moto.
Hivyo ndivyo Soka lilivyo, Kuna wakati hupati unacho stahili bahati Ina amua.
Al ahly kwenye haya mashindano huwa hachezi kuongoza kundi mzee yeye anachoangaliaga ni kufuzu tu moto wake huwa ni kwenye mtoano sahivi ahangaike nini wakati robo anapewa hilal mchovu mnamuona yuleeee Nusu anapepea
 
Msitafute mchawi yote haya yamesababishwa na mambo yafuatayo;

1.Usajili wa kukomoana(mihemko).Hakukuwa na haja ya Yanga kuwasajili Chama , Baleke na Dube . Hizo sajili zililenga kuwakomoa simba na Azam lakini ukweli ni kwamba uwezo wao kwa sasa ni mdogo mno.

2.Unywaji wa supu ya vibudu kupita kiasi.Mungu hapendi hii kitu ila mnalazimisha tu. Wachezaji walilewa sifa na kujiona wanaweza Sana wakasahau majukumu yao

3.Ununuaji wa mechi kwa timu za ligi kuu ya NBC umewafanya mjione mna timu nzuri kumbe ushindi wa mchongo hali inayosababisha mshindwe kubaini madhaifu yenu.

4.Marefa wa NBCPL wamewadekeza Sana wachezaji wenu . Hata wakifanya makosa ya wazi wao ni kufunika tu.Rejea mechi ya simba vs Yanga , Kibu alifanyiwa makosa zaidi ya mara mbili ndani ya 18 lakini Kayoko akapeta.Hali hii husabisha washindwe kujiamini wanapochezeshwa na marefa wa nje.

5. Timu ina vibabu wengi mno. Chama 37+
Aucho 37+
Dube 33+
Boka Njolinjoli 32+
Pacome 32+
Diara 33+
PUMBA
 
Nawambia mapema nyuma mwiko...
Safari hii Simba itawadhalilisha
Kama niliposema robo hamuendi..kaeni na hii copy kuwaa Safar hii mtadhalilika utopolo nyiee.
##Mwakakundi##
 
Back
Top Bottom