Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuhonga tu hongereni kwa ubingwa...
Anaehonga nani? Azam au simba? Maana sisi hatubahatishi tunampiga mtu mpaka bao 8
Manji anatafuta ushindi kwa namna yeyote Ili tu wanachama wampende,ndo maana mkikutana na timu za maana mnachezea nakoz..
Mnanunu mechi tunaona skuizi mechi zote kwa uzamini wa Azam Tv

Ahsante sana mtani kwa kukubali mapema, kwani wahenga husema asiyekubali kushindwa si mshindani.Ukweli inabidi uwe ukweli.
Kusuasua kwa Azam Fc, kwa kutoa sare 3 mfululizo ambapo kwenye point 9 wamepata point 3, kimahesabu wamepoteza point 6 hapo.
Wakati Azam akisusua Yanga yupo katika ubora wake, kila mechi ni ushindi tena handcap! Sioni nafasi Yanga akiteleza mechi 3 hasa ukizingatia mechi zilizobaki za Yanga ni moja tuu anatoka anaenda Mtwara, zilizobaki yupo nyumbani Taifa.
Ingawa mpira hautabiriki, chochote kinaweza kutokea lakini kwa uhalisia na kimahesabu nawapa ubingwa Yanga, japo siwapendi lakini ukweli jamaa wapo vizuri.
cc mkolaj Amavubi nifah Honey Faith na wengineoo...
Ukweli inabidi uwe ukweli.

Mtakalia kusema wanahonga wenzenu tuko anga za kimataifa nyie kalieni mpira wa mchangani tumbafu