Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

wa ukae

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
2,720
Reaction score
2,151
Kutokana na mwendo wa kusua sua wa timu ya Azam FC Club kongwe nchini Dar Yanga Africa itatangaza ubingwa mapemaaa
 
Mtakalia kusema wanahonga wenzenu tuko anga za kimataifa nyie kalieni mpira wa mchangani tumbafu
 
Anaehonga nani? Azam au simba? Maana sisi hatubahatishi tunampiga mtu mpaka bao 8

Manji anatafuta ushindi kwa namna yeyote Ili tu wanachama wampende,ndo maana mkikutana na timu za maana mnachezea nakoz..
 
Mnanunu mechi tunaona skuizi mechi zote kwa uzamini wa Azam Tv

Maneno ya mkosaji haya...

Mkia FC si mkubali tu kuwa ligi imewashinda ni wakati sasa wa kurudi porini kufukuzana na swala...
 
Ukweli inabidi uwe ukweli.

Kusuasua kwa Azam Fc, kwa kutoa sare 3 mfululizo ambapo kwenye point 9 wamepata point 3, kimahesabu wamepoteza point 6 hapo.

Wakati Azam akisusua Yanga yupo katika ubora wake, kila mechi ni ushindi tena handcap! Sioni nafasi Yanga akiteleza mechi 3 hasa ukizingatia mechi zilizobaki za Yanga ni moja tuu anatoka anaenda Mtwara, zilizobaki yupo nyumbani Taifa.

Ingawa mpira hautabiriki, chochote kinaweza kutokea lakini kwa uhalisia na kimahesabu nawapa ubingwa Yanga, japo siwapendi lakini ukweli jamaa wapo vizuri.

cc mkolaj Amavubi nifah Honey Faith na wengineoo...
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana mtani kwa kukubali mapema, kwani wahenga husema asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Last edited by a moderator:
Ukweli inabidi uwe ukweli.

Kusuasua kwa Azam Fc, kwa kutoa sare 3 mfululizo ambapo kwenye point 9 wamepata point 3, kimahesabu wamepoteza point 6 hapo.

Wakati Azam akisusua Yanga yupo katika ubora wake, kila mechi ni ushindi tena handcap! Sioni nafasi Yanga akiteleza mechi 3 hasa ukizingatia mechi zilizobaki za Yanga ni moja tuu anatoka anaenda Mtwara, zilizobaki yupo nyumbani Taifa.

Ingawa mpira hautabiriki, chochote kinaweza kutokea lakini kwa uhalisia na kimahesabu nawapa ubingwa Yanga, japo siwapendi lakini ukweli jamaa wapo vizuri.

cc mkolaj Amavubi nifah Honey Faith na wengineoo...

Hahahaaa, hongera kwa ujasiri wa kuukubali ukweli japo mchungu.
 
Last edited by a moderator:
Mtakalia kusema wanahonga wenzenu tuko anga za kimataifa nyie kalieni mpira wa mchangani tumbafu

mikia ndio wanaohonga,kama hawakuhonga walimchezeshaje mchezaji mwenye jadi nne za njano?ndo maana rage alisema washabiki na wanachama wa simba ni mambu.............!
 
Back
Top Bottom