Yanga kutoandika majina kwenye jezi

Yanga kutoandika majina kwenye jezi

Tena mi nataka wasivae kabisa hizo fulana,watu wa mikia wachawi sana kwan hatujui?no majina kwenye jezi sijui mtalogaje.
 
ALIKUWA ANAWAONA TU KWENYE MAGAZETI HIVYO BAADA YA KUPATA NAFASI KWA MARA YA KWANZA KUINGIA TAIFA ALIPENDELEA AWAONE KWA MACHO NA KUTHIBITISHA KWA MAJINA YAO YA MGONGONI....

Daaahh!
Kama unaweza kumfikia mwambie aache kufuata mkumbo
 
Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu hii kitu leo nilikuwepo uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya yanga na mwadui nimeona ajabu timu kubwa kama yanga kutoandika majina katika jezi zake je ni makusudi au mdhamini hana pesa ya ku print mbona mbele ya jezi zina nembo kulikoni.....?

Kingine kilichonoshangaza jana ni hiki, Yanga walishona nembo ya mdhamini kampuni ya VODACOM juu ya nembo ya CAF. Hii inaaminsha Yanga hawakuwa na jezi wakaamua kutumia jezi ambazo walipewa na CAF ili watumie kwenye michuano ya Kimataifa.

Kumbuka sheria inazitaka timu zote kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini. Mwaka 2015 timu ya Simba ilipigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa kutovaa jezi zenye nembo ya mdhamini.
Yanga.PNG
 
View attachment 465265

MKUU

naomba nikutoe tongotongo kidogo!

''CAF haitoi jezi kwa timu shiriki za Michuano yake!''
 
Mdhamini si ndio huyo Vodacom....

Au huoni nembo ya Vodacom kwenye paji la Mkono?

Tuambie basi kama tatizo lako ni ile nembo kukaa juu ya nembo ya CAF..
 
Mikia wanataka kamati yao pendwa ya masaa 72 ihipore Yanga pointi za mchezo wa jana sbb ya jezi za caf l [emoji23] [emoji23]
 
Duh! aisee...

Kama ni hvyo basi hawa watu watakuwa kwenye hali mbaya sana ya mkanganyiko wa kisaikolojia.....inahitaji wapewe msaada wa ziada..

Yaani kuvaa Jezi aina hizo basi ndi iwe sababu ya wao kuomba alama za mezani..
 
Mdhamini si ndio huyo Vodacom....

Au huoni nembo ya Vodacom kwenye paji la Mkono?

Tuambie basi kama tatizo lako ni ile nembo kukaa juu ya nembo ya CAF..
Nilichoeleza ni kile kile ambacho Waingereza walishangazwa kuhusu Arsenal kutumia begi lenye nembo ya UEFA kwenye local league. Mimi ni shabiki wa Yanga kuliko unavyofikiria, sio shabiki wa mihemko na ndio maana kwenye ukweli tunasema ukweli.
 
MKUU

naomba nikutoe tongotongo kidogo!

''CAF haitoi jezi kwa timu shiriki za Michuano yake!''
Fuatilia kisa cha Orlando Pirates kutumia jezi zenye nembo ya Vodacom South Africa kwenye michuano ya CAF.
 
Nilichoeleza ni kile kile ambacho Waingereza walishangazwa kuhusu Arsenal kutumia begi lenye nembo ya UEFA kwenye local league. Mimi ni shabiki wa Yanga kuliko unavyofikiria, sio shabiki wa mihemko na ndio maana kwenye ukweli tunasema ukweli.
Mshabiki wa kweli wa Yanga leo ni siku ya furaha kwakwe na kuwacheka kwa dharau mikia.

Nilitegemea uanzishe thread isemayo hivi Mavugo na Kichuya hivi bado wapo Simba au wapo likizo?
 
Ndio maana nikasema mimi sio shabiki mihemko. Siwezi kuanza kuongelea ya Simba ilhali ya Yanga hayajakaa sawa.
 
Ni kweli wewe si shabiki bali ni mamluki tu, kuichukia Yanga kwa sasa ni kujitafutia vidonda vya tumbo bure tu.
 
Yanga andikeni majina ya wachezaji,mnaboa..!!,
 
Kingine kilichonoshangaza jana ni hiki, Yanga walishona nembo ya mdhamini kampuni ya VODACOM juu ya nembo ya CAF. Hii inaaminsha Yanga hawakuwa na jezi wakaamua kutumia jezi ambazo walipewa na CAF ili watumie kwenye michuano ya Kimataifa.

Kumbuka sheria inazitaka timu zote kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini. Mwaka 2015 timu ya Simba ilipigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa kutovaa jezi zenye nembo ya mdhamini.
View attachment 465265
Baada ya santuri ya mikia kutwaa ubingwa kuchuja mmegeukia mipasho! Mikia fc litimu la hovyo kweli kweli kama walivyo mashabiki wake
 
Nilichoeleza ni kile kile ambacho Waingereza walishangazwa kuhusu Arsenal kutumia begi lenye nembo ya UEFA kwenye local league. Mimi ni shabiki wa Yanga kuliko unavyofikiria, sio shabiki wa mihemko na ndio maana kwenye ukweli tunasema ukweli.
sipingi hoja yako!

Ila mpira wa wenzetu uko kwenye level nyingine sana!
ndio maana hata suala dogo kama hilo linakuwa na athari kubwa mno...sababu kwao mpira ni biashara na ajira tosha.

ila naomba unisaidie hapo kwanini...Yanga kutumia Jezi hizo ili hali zimefunikwa na nembo ya ziada ni tatizo?
 
Back
Top Bottom