Yanga kutoandika majina kwenye jezi

Yanga kutoandika majina kwenye jezi

Tatizo jezi wanazo chache
sasa kama yanga ambaye anahonga marefa , anahonga wachezaji wanaocheza dhidi ya simba,na kununua mechi - anakuwa na jezi chache sasa wewe unayeshindwa kuhonga hata mwamuzi utaanzaje kuwa na jezi nyingi...?
 
Yanga andikeni majina ya wachezaji,mnaboa..!!,

naona hakuna sababu yoyote ya kuandika majina ya wachezaji kwenye mashati yao...

-Niyonzima akiwa na mpira hata kama unasikiliza redioni mechi ni lazima utajua kuwa huyo sasa ni niyonzima.

-bao likifungwa kwa kichwa hata kama unasikiliza game redioni utajua tu kuwa huyo ni Amis Joslin Tambwe...

-pasi ndefu ya majalo ikipigwa kuelekea ndani ya 18 , utajua tu huyo ni nani/////

hivyo sioni sababu ya kuandikwa majina....

Majina yaandikwe pale ambapo wachezaji hawajulikani....ili wengine tuweze kuwajua.
 
Kuto kuandika majina ni zama za kijima hiv timu kama yanga kweli wamekosa pesa ya kuprint majina??? Huu ni umaskini uliopindukia kama sio viongozi kutojielewa, wanaboa sana tunashindwa tofautisha jezi zao na zile jezi za chama mana rangi zinafanana, wangeweka majina at least tungetofautisha jezi na sare za chama.
 
Hilo halina mashiko
Kingine kilichonoshangaza jana ni hiki, Yanga walishona nembo ya mdhamini kampuni ya VODACOM juu ya nembo ya CAF. Hii inaaminsha Yanga hawakuwa na jezi wakaamua kutumia jezi ambazo walipewa na CAF ili watumie kwenye michuano ya Kimataifa.

Kumbuka sheria inazitaka timu zote kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini. Mwaka 2015 timu ya Simba ilipigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa kutovaa jezi zenye nembo ya mdhamini.
View attachment 465265
Hilo halina mashiko maana hata Simba wamemchezesha Novart Lufunga, TFF imeshindwa kufuata kanuni kwa kuwapoka simba ushindi, je iwe jezi za caf za yanga?
 
Nilichoeleza ni kile kile ambacho Waingereza walishangazwa kuhusu Arsenal kutumia begi lenye nembo ya UEFA kwenye local league. Mimi ni shabiki wa Yanga kuliko unavyofikiria, sio shabiki wa mihemko na ndio maana kwenye ukweli tunasema ukweli.
Wewe ni malalamiko fc acha kutuzuga bhana!
 
Wenye timu yetu tunawajua maama 30 Dida, 12 Juma Abdul, 8 Niyonzima, 13 Kamusoko, 11 Ngoma 7 Chirwa, 27 Msuva 17 Tambwe, 5 cannavaro 20 Haji Mwinyi, 21 Juma Mahadhi na wengineo sasa mnaotaka majina muende na radio uwanjan
 
Kuto kuandika majina ni zama za kijima hiv timu kama yanga kweli wamekosa pesa ya kuprint majina??? Huu ni umaskini uliopindukia kama sio viongozi kutojielewa, wanaboa sana tunashindwa tofautisha jezi zao na zile jezi za chama mana rangi zinafanana, wangeweka majina at least tungetofautisha jezi na sare za chama.
Kumbe ccm nao wana timu ligi kuu? Kweli ukistaajabu ya Musa basi hujayaona ya firauni, ccm imezaliwa mwaka 1977 ni miaka 40 tu wakati Yanga ina zaidi ya miaka 70 kenge wewe.
 
Kumbe ccm nao wana timu ligi kuu? Kweli ukistaajabu ya Musa basi hujayaona ya firauni, ccm imezaliwa mwaka 1977 ni miaka 40 tu wakati Yanga ina zaidi ya miaka 70 kenge wewe.
Sijakuelewa mkuu mlianza na kipi chama au timu? Maana vyote vinawezekana
 
naona hakuna sababu yoyote ya kuandika majina ya wachezaji kwenye mashati yao...

-Niyonzima akiwa na mpira hata kama unasikiliza redioni mechi ni lazima utajua kuwa huyo sasa ni niyonzima.

-bao likifungwa kwa kichwa hata kama unasikiliza game redioni utajua tu kuwa huyo ni Amis Joslin Tambwe...

-pasi ndefu ya majalo ikipigwa kuelekea ndani ya 18 , utajua tu huyo ni nani/////

hivyo sioni sababu ya kuandikwa majina....

Majina yaandikwe pale ambapo wachezaji hawajulikani....ili wengine tuweze kuwajua.
Acha kuturudisha kaleeee wewe
Mambo ya redio za Mbao ya karne ya 15 yaanze tena Leo ni uboyaaaa
 
Wachawi wa simba watachukua majina ya wachezaji wetu wakawaroge ndio maana hatuyaandiki.
 
Acha kuturudisha kaleeee wewe
Mambo ya redio za Mbao ya karne ya 15 yaanze tena Leo ni uboyaaaa
kuna masuala mhimu ya kubishana lakini si suala lamajina kwenye jezi...

hata mimi silipi uzito sana..

kinachotakiwa ni perfomance..

Hao mazembe mpaka wanabeba ndoo yao ya kwanza CAF hawakuwa wakiandika majina jezi zao..wameanza baadae..hivyo sioni ni kama suala la msingi sana..
 
Wenye timu yetu tunawajua maama 30 Dida, 12 Juma Abdul, 8 Niyonzima, 13 Kamusoko, 11 Ngoma 7 Chirwa, 27 Msuva 17 Tambwe, 5 cannavaro 20 Haji Mwinyi, 21 Juma Mahadhi na wengineo sasa mnaotaka majina muende na radio uwanjan

inabidi waende na redio aisee ...maana hamna jinsi.
 
Hata mi huwa nashangaaa sana kwaani kuandika jina kuna gharama gani kwa club kubwa kama Yanga.

Nadhani ni ubahiri tu. Hawtaki kureprint kila msimu mtu anapoondoka. Yaani ukivaa wewe mechi hii, mechi ijayo anaweza kuvaa mwingine jezi hiyohiyo bila shaka yoyote. Mentality ya kimaskini sana.
 
Cha msingi ni timu kuongoza ligi na mwisho wa siku kuchukua ushindi
 
sasa kama yanga ambaye anahonga marefa , anahonga wachezaji wanaocheza dhidi ya simba,na kununua mechi - anakuwa na jezi chache sasa wewe unayeshindwa kuhonga hata mwamuzi utaanzaje kuwa na jezi nyingi...?

Mkuu unanipokonya maneno mdomoni !
 
Back
Top Bottom