sasa kama yanga ambaye anahonga marefa , anahonga wachezaji wanaocheza dhidi ya simba,na kununua mechi - anakuwa na jezi chache sasa wewe unayeshindwa kuhonga hata mwamuzi utaanzaje kuwa na jezi nyingi...?Tatizo jezi wanazo chache
Yanga andikeni majina ya wachezaji,mnaboa..!!,
Hilo halina mashiko maana hata Simba wamemchezesha Novart Lufunga, TFF imeshindwa kufuata kanuni kwa kuwapoka simba ushindi, je iwe jezi za caf za yanga?Kingine kilichonoshangaza jana ni hiki, Yanga walishona nembo ya mdhamini kampuni ya VODACOM juu ya nembo ya CAF. Hii inaaminsha Yanga hawakuwa na jezi wakaamua kutumia jezi ambazo walipewa na CAF ili watumie kwenye michuano ya Kimataifa.
Kumbuka sheria inazitaka timu zote kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini. Mwaka 2015 timu ya Simba ilipigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa kutovaa jezi zenye nembo ya mdhamini.
View attachment 465265
Wewe ni malalamiko fc acha kutuzuga bhana!Nilichoeleza ni kile kile ambacho Waingereza walishangazwa kuhusu Arsenal kutumia begi lenye nembo ya UEFA kwenye local league. Mimi ni shabiki wa Yanga kuliko unavyofikiria, sio shabiki wa mihemko na ndio maana kwenye ukweli tunasema ukweli.
Mkuu wamechutama baada ya kuchojolewa nguo! Imekuwa shida!Wapuuzi kabisa hawa mikia. Kelele zote mjini kwishney.
We Tomaso kweli, kichuya ana Goal ngap?Mashabiki wa Yanga wanahitaji matokeo na si upuuzi kama wa Kichuya jina kubwa kwenye jezi uwanjani anakata viuno tu hana lolote.
Mi naisi labda kamati ya ufundi inakataza maana mpira wetu hapa tunaujua wenyeweYanga sio leo tu, Mara nyingi huwa hawaandiki majina. Sijui tatizo ni nini
Kumbe ccm nao wana timu ligi kuu? Kweli ukistaajabu ya Musa basi hujayaona ya firauni, ccm imezaliwa mwaka 1977 ni miaka 40 tu wakati Yanga ina zaidi ya miaka 70 kenge wewe.Kuto kuandika majina ni zama za kijima hiv timu kama yanga kweli wamekosa pesa ya kuprint majina??? Huu ni umaskini uliopindukia kama sio viongozi kutojielewa, wanaboa sana tunashindwa tofautisha jezi zao na zile jezi za chama mana rangi zinafanana, wangeweka majina at least tungetofautisha jezi na sare za chama.
Sijakuelewa mkuu mlianza na kipi chama au timu? Maana vyote vinawezekanaKumbe ccm nao wana timu ligi kuu? Kweli ukistaajabu ya Musa basi hujayaona ya firauni, ccm imezaliwa mwaka 1977 ni miaka 40 tu wakati Yanga ina zaidi ya miaka 70 kenge wewe.
Acha kuturudisha kaleeee wewenaona hakuna sababu yoyote ya kuandika majina ya wachezaji kwenye mashati yao...
-Niyonzima akiwa na mpira hata kama unasikiliza redioni mechi ni lazima utajua kuwa huyo sasa ni niyonzima.
-bao likifungwa kwa kichwa hata kama unasikiliza game redioni utajua tu kuwa huyo ni Amis Joslin Tambwe...
-pasi ndefu ya majalo ikipigwa kuelekea ndani ya 18 , utajua tu huyo ni nani/////
hivyo sioni sababu ya kuandikwa majina....
Majina yaandikwe pale ambapo wachezaji hawajulikani....ili wengine tuweze kuwajua.
kuna masuala mhimu ya kubishana lakini si suala lamajina kwenye jezi...Acha kuturudisha kaleeee wewe
Mambo ya redio za Mbao ya karne ya 15 yaanze tena Leo ni uboyaaaa
Wenye timu yetu tunawajua maama 30 Dida, 12 Juma Abdul, 8 Niyonzima, 13 Kamusoko, 11 Ngoma 7 Chirwa, 27 Msuva 17 Tambwe, 5 cannavaro 20 Haji Mwinyi, 21 Juma Mahadhi na wengineo sasa mnaotaka majina muende na radio uwanjan
Hata mi huwa nashangaaa sana kwaani kuandika jina kuna gharama gani kwa club kubwa kama Yanga.
We Tomaso kweli, kichuya ana Goal ngap?
MKUU
naomba nikutoe tongotongo kidogo!
''CAF haitoi jezi kwa timu shiriki za Michuano yake!''
sasa kama yanga ambaye anahonga marefa , anahonga wachezaji wanaocheza dhidi ya simba,na kununua mechi - anakuwa na jezi chache sasa wewe unayeshindwa kuhonga hata mwamuzi utaanzaje kuwa na jezi nyingi...?