Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 10,963 Reaction score 13,287 Jan 31, 2017 #61 OSOKONI said: Tatizo wanataka mchezaji akiondoka aache jezi ivaliwe na mwingine Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app Click to expand... hii sio kweli sababu jezi zina namba na kila mchezaji ana namba yake
OSOKONI said: Tatizo wanataka mchezaji akiondoka aache jezi ivaliwe na mwingine Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app Click to expand... hii sio kweli sababu jezi zina namba na kila mchezaji ana namba yake
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Jan 31, 2017 #62 Sibonike said: Tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha Mbumbumbu Click to expand... Inabidi tuwafundishe tu! maana hatuwezi kuyakimbia haya Majukumu otherwise watatuaibisha siku moja huko mbeleni...
Sibonike said: Tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha Mbumbumbu Click to expand... Inabidi tuwafundishe tu! maana hatuwezi kuyakimbia haya Majukumu otherwise watatuaibisha siku moja huko mbeleni...