Yanga kutoenda uwanjani leo, ni kuhofia aibu ya kipigo.

Yanga kutoenda uwanjani leo, ni kuhofia aibu ya kipigo.

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,747
GT, viongozi wa timu ya yanga wamekesha kwenye kikao wakiwa na kamati ya ufundi. pamoja na juhudi zote hizi imeonekana kuwa watafungwa magoli 2, hivyo uongozi umeshauriwa na kamati ya ufundi kutopeleka timu ili kuepuka aibu, wale walioko jangwani wanaweza kutupasha zaidi.
 
Acha ushamba ww

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom