GT, viongozi wa timu ya yanga wamekesha kwenye kikao wakiwa na kamati ya ufundi. pamoja na juhudi zote hizi imeonekana kuwa watafungwa magoli 2, hivyo uongozi umeshauriwa na kamati ya ufundi kutopeleka timu ili kuepuka aibu, wale walioko jangwani wanaweza kutupasha zaidi.