Habari wadau,
Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club.
Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini.
Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa timu zinazoepukika.
Nakumbuka interview ya Mbwana Samatta redioni alisema TP Mazembe hakunaga mambo ya kambini kwenye home games.
Siku ya mechi kila mtu anatokea nyumbani kwake na kwenda makao makuu ya club katika muda uliopangwa..wote mnakutana hapo na kupanda bus la timu kwenda kwenye mechi.. mechi ikiisha bus linawarudisha makao makuu ya club mnashushwa na kila mtu anaelekea kwke anapoishi.
Na huo ndio mfumo ambao hata ulaya unatumika.
Club zetu zingejifunza kupunguza matumizi kwa mfumo huu, maana hoteli ni hela nyingi zinalipwa, ambazo hizo hela zingefanya maendeleo mengine.
Nahisi viongozi wanapewa 10% na wenye hotel ndio maana wanaupenda mfumo wa kuweka kambi kila siku