Yanga kutokea kambini hotelini mechi za Dar ni matumizi mabovu ya hela

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club.

Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini.

Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa timu zinazoepukika.

Nakumbuka interview ya Mbwana Samatta redioni alisema TP Mazembe hakunaga mambo ya kambini kwenye home games.

Siku ya mechi kila mtu anatokea nyumbani kwake na kwenda makao makuu ya club katika muda uliopangwa..wote mnakutana hapo na kupanda bus la timu kwenda kwenye mechi.. mechi ikiisha bus linawarudisha makao makuu ya club mnashushwa na kila mtu anaelekea kwke anapoishi.

Na huo ndio mfumo ambao hata ulaya unatumika.

Club zetu zingejifunza kupunguza matumizi kwa mfumo huu, maana hoteli ni hela nyingi zinalipwa, ambazo hizo hela zingefanya maendeleo mengine.

Nahisi viongozi wanapewa 10% na wenye hotel ndio maana wanaupenda mfumo wa kuweka kambi kila siku
 
tatizo nidham za wachezaji , wakitokea nyumban wengine watakuja kwenye mechi wamelewa pombe, bora watokee kambini
 
Mazembe ama ulaya mbona hawaendi wamelewa? Nidhamu ikiwa kama sheria wataogopa kuivunja
 
Habari wadau,

Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club.

Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini.

Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa timu zinazoepukika.

Nakumbuka interview ya Mbwana Samatta redioni alisema TP Mazembe hakunaga mambo ya kambini kwenye home games.

Siku ya mechi kila mtu anatokea nyumbani kwake na kwenda makao makuu ya club katika muda uliopangwa..wote mnakutana hapo na kupanda bus la timu kwenda kwenye mechi.. mechi ikiisha bus linawarudisha makao makuu ya club mnashushwa na kila mtu anaelekea kwke anapoishi.

Na huo ndio mfumo ambao hata ulaya unatumika.

Club zetu zingejifunza kupunguza matumizi kwa mfumo huu, maana hoteli ni hela nyingi zinalipwa, ambazo hizo hela zingefanya maendeleo mengine.

Nahisi viongozi wanapewa 10% na wenye hotel ndio maana wanaupenda mfumo wa kuweka kambi kila siku

Wee huwajui wachezaji wakibongo.
Utapigwa goli mpaka ushangae....wagegedaji walevi wote utakuta wamefanya yao kablanya hiyo game
 
Halafu kwenye mazoezi pia wawe wanatoka makwao?

Yanga nawakutaga Nefaland hotel ,pale chumba cha bei ya chini ni 50,000 na bei ya juu ni 120,000 ,halafu hadi benchi la ufundi wanalala pia,jumla ni kama watu 35.

50,000 x 35 =1,750,000 ujumlishe na hela za msosi.
 
Kama KMC walivyo,kule kwenye uwanja wa mazoezi wananchi wanalalamika wanatembea na wanafunzi
Wee huwajui wachezaji wakibongo.
Utapigwa goli mpaka ushangae....wagegedaji walevi wote utakuta wamefanya yao kablanya hiyo game
 
Mi naamini ipo siku tutafika huko kwenye kutokea nyumbn, zamani mechi za Simba na yanga timu zote zilikua zinaweka kambi nje ya DSM, lakini saizi hawatoki.
Development is a process not an event
 
Back
Top Bottom