Yanga kutupwa nje ya Azam Conf. Cup

Yanga kutupwa nje ya Azam Conf. Cup

Naona unaombea kama mlivyokuwa mnaombea mwanzoni na kudai tulipataje pataje... na kwa bahati mzuri mlivyokutana nao tena wakawajibu waliipataje pataje!
Walipataje pataje yaani?
 
Simba, kimataifa kwenyewe mnakwenda kutolewa tena, kwenye stage ya awali ya 'mchujo' na Muzinga Fc ya Burundi alafu mnarudia kwenye kale ka mchezo kenu tena ka- kuhongo marefa na kununua mechi kama ilivyo kuwa msimu huu
Yanga walipewa lift na mafanikio ya Simba CAF 2018, mwaka 2018 Simba walipotokewa na UD Songo, Yanga wakachonga sana sasa leo wanalialia.

Vv
 
Back
Top Bottom