Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa huna pesa ya bandoMashabiki wa Yanga wengi wako busy na kazi zao sio washinda vijiweni na waendesha bodaboda kama wa mikia
Umelala ?au unakunywa mataputapuAfadhali sisi si kama nye leo mnatolewa na kagera sugar
Mnaogopa nini wafungeni Azam tukutane tenaKwani azam cup imeisha,halafu leo uwanjani ilitawala Yesu nibebe ,hamna hata aibu mnabebwa waziwazi
Walipataje pataje yaani?Naona unaombea kama mlivyokuwa mnaombea mwanzoni na kudai tulipataje pataje... na kwa bahati mzuri mlivyokutana nao tena wakawajibu waliipataje pataje!
Mnaogopa nini wafungeni Azam tukutane tena
Yanga walipewa lift na mafanikio ya Simba CAF 2018, mwaka 2018 Simba walipotokewa na UD Songo, Yanga wakachonga sana sasa leo wanalialia.Simba, kimataifa kwenyewe mnakwenda kutolewa tena, kwenye stage ya awali ya 'mchujo' na Muzinga Fc ya Burundi alafu mnarudia kwenye kale ka mchezo kenu tena ka- kuhongo marefa na kununua mechi kama ilivyo kuwa msimu huu