Yanga kuvaa nembo ya mdhamini sio haramu

Yanga kuvaa nembo ya mdhamini sio haramu

Ushiriki wa viti maalumu...bila huyo unayemwita kilaza kukubeba ungeshiriki??mshukuru huyo kilaza sababu bile yeye hayo mashindano ungeishia kuyaona kwenye tv
Unajua hzo pt tulizonazo Simba alichangia ngap ndani ya miaka mitatu mfululizo?
 
Unajua hzo pt tulizonazo Simba alichangia ngap ndani ya miaka mitatu mfululizo?
Sio miaka mitatu ni miaka mitano...inaitwa caf five years ranking system..Tanzania tuna point 18 simba kachangia 15...kwenye hili usilete ujuaji sababu na hakika naufahamu mzuri kuliko wewe...unaswali jingine????
 
Kwani Voda mbona wana rangi nyingi nje na nyekundu?Yanga haitokaa iweke doa jekundu kwenye rangi zake.tusipangiene cha kufanya.GSM wana lebo za njano ndo maana voda wataweka nembo nyeusi kama zaman.over.kila mtu aishi kwenye misingi yake.
Tunazo timu zenye rangi za jezi mbalimbali kuanzia blue, pink, orange, brown, maluni kama mbeya city, kwanini iwe ni nyekundu Tu isiyohitajika? Nadhani utani wa jadi haimaanishi uhasama uliokithiri.
 
Sio ajabu mdhamini kubadili rangi ya nembo yake Kwa mteja. Hata Liverpool rangi ya nembo ya standard chartered Bank sio nyeupe kama ilivyo kwenye jezi ya Liverpool ila iko nyeupe kutokana na jezi ya timu. Tunachosema hapa je Yanga tunao wadhamin/fedha wengi kiasi cha kuwa na nyodo ya kumlazimisha mdhamini afuate matakwa yetu? Na hiyo inawezekana Tu kwenye level ya club lakini tunapozungumzia udhamini wa ligi uniformity ni muhimu
Hapa unazungumzia mdhamini wa timu, Vodacom ni mdhamini wa Ligi, timu ni nyingi, akifuata masharti hayo kwa timu zote za ligi atajikuta ana nembo zenye rangi zote
 
Yanga acheni Ushamba, Simba katika mashindano ya CL nembo ya CAF yenye rangi za "Yanga" inawekwa na hujawahi kuwasikia Simba wakijadili huu upuuzi wanaojadili Yanga.
Screen-Shot-2019-03-16-at-10.10.15-PM-950x601.jpeg
 
Uelewa wa viongozi wao ni mdogo,sasa kama timu haina Marketing Manager au mtu wa Business Administration tutegemee nini.Waajiri wataalamu wa biashara na sio kuleta mambo ya kizamani.Wanaingia mikataba hawaisomi vizuri halafu baadae wanaanza kugoma.
Uongo.Kila mtu ana msimamo wake.usilazimishe waislamu wote wavae barakashea.wengine watavaa vitambaa.Kama simba mtavaa nembo nyekundu vaeni sisi yanga tutavaa nembo yoyote isipokuwa nyekundu.kama voda wana nembo nyeupe hiyo itawekwa,nyekundu no.Huo ni msimamo wa klabu.Hapo haiitaji elimu kubwa.kama nanyi simba mnataka tafuteni mdhamini kama vile mihan gas kisha aweke madoa ya njano kwenye jezi zenu.Ila sisi hatutaki na tuheshimiane
 
Sio kweli.hapa sio utani wa jadi.ni suala la kufata utamaduni.Bila kuathiri klabu. Ivi simba leo akija mtu akasema mvae jezi A blue mwachene na nyekundu utakubali?
Ivi mo akiweka bil 20 zake kisha akasema yeye hapendi rangi nyekundu anataka simba ivae jezi za blue nyumbani na ugenini iwe ya blown mtakubari kisa yeye ni mdhamini na kaweka pesa?
Tunazo timu zenye rangi za jezi mbalimbali kuanzia blue, pink, orange, brown, maluni kama mbeya city, kwanini iwe ni nyekundu Tu isiyohitajika? Nadhani utani wa jadi haimaanishi uhasama uliokithiri.
 
We ndo mshamba kwani nembo ya caf ina rangi ya kijani na njano tu?
Lakini hizo kijani na njano Si zinaingia ktk jezi ya Simba kama itakavyoingia nyekundu na nyeupe ya vodacom??Bado Yanga mnabaki kuwa Washamba, hamjui tofauti ya rangi ya jezi na rangi za logo, Logo ya Nyekundu ya Vodacom ikiwekwa ktk jezi zenu bado jezi zenu zitasemwa ni kijani na njano, narudia tena.... Yanga acheni umbwigambwiga!
 
Vijana was Rage na Haji nyie. Mbumbumbu.
 
Yanga acheni Ushamba, Simba katika mashindano ya CL nembo ya CAF yenye rangi za "Yanga" inawekwa na hujawahi kuwasikia Simba wakijadili huu upuuzi wanaojadili Yanga.View attachment 1195039
Simba imekubali nembo ya CAF ambayo ina njano na kijani ikae kwenye mikono ya jezi za Simba na Simba ilifika hadi robo final.

Mahindi msolla ni msomi hawezi kishughulishwana Jambo dogo/ trivial kama hili.
 
Uongo.Kila mtu ana msimamo wake.usilazimishe waislamu wote wavae barakashea.wengine watavaa vitambaa.Kama simba mtavaa nembo nyekundu vaeni sisi yanga tutavaa nembo yoyote isipokuwa nyekundu.kama voda wana nembo nyeupe hiyo itawekwa,nyekundu no.Huo ni msimamo wa klabu.Hapo haiitaji elimu kubwa.kama nanyi simba mnataka tafuteni mdhamini kama vile mihan gas kisha aweke madoa ya njano kwenye jezi zenu.Ila sisi hatutaki na tuheshimiane
Kwani nembo ya CAF ina rangi gani? Mbona Simba, Kenya, Egypt, Morocco, Angola hawakujali jezi zao kuwekewa nembo ya CAF?
 
Sio kweli.hapa sio utani wa jadi.ni suala la kufata utamaduni.Bila kuathiri klabu. Ivi simba leo akija mtu akasema mvae jezi A blue mwachene na nyekundu utakubali?
Ivi mo akiweka bil 20 zake kisha akasema yeye hapendi rangi nyekundu anataka simba ivae jezi za blue nyumbani na ugenini iwe ya blown mtakubari kisa yeye ni mdhamini na kaweka pesa?
Tofautisha Kati ya rangi ya jezi ya club na rangi ya nembo ya mdhamini.
 
Simba imekubali nembo ya CAF ambayo ina njano na kijani ikae kwenye mikono ya jezi za Simba na Simba ilifika hadi robo final.

Mahindi msolla ni msomi hawezi kishughulishwana Jambo dogo/ trivial kama hili.
CAF ni mwenye mashindano yake. Voda ni mdhamini
Tuache ushamba huu. Huko Duniani FA zina wadhamini wa ligi lakini kila timu ina mdhamini wake wa jezi akina Adidas, Puma nk.
Mbona TFF wameikataa TBL yenye hela nyingi kwa sababu tu muonyesha mpira Azam hataki matangazo ya beer
 
Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
Barclay's Bank alikuwa title sponsor si mdhamini wa ligi elewa hilo
 
Back
Top Bottom