Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 796
- 1,160
Unajua hzo pt tulizonazo Simba alichangia ngap ndani ya miaka mitatu mfululizo?Ushiriki wa viti maalumu...bila huyo unayemwita kilaza kukubeba ungeshiriki??mshukuru huyo kilaza sababu bile yeye hayo mashindano ungeishia kuyaona kwenye tv