Namaanisha kuna watu waliingia mkataba na hao wachezaji (kamati ya usajili) chini ya uongozi wa watu binafsi ambao sasa hawawezi kutoa fedha zao za mfukoni kwa sababu mbalimbali.Kobello una uhakika mikataba hailipi, take imagine kama mkataba na yanga haulipi je alliance fc na biashara mara fc itakuwaje?
Nipe matokeo,na leo tumebahatisha tena?Yanga wazee was kubahatisha Leo wanachezeshwa kwata na wajelajela pale sokoine
Nipe matokeo,na leo tumebahatisha tena?
Hao Nyoka wawili waondolewe wasije leta madhara ktk timu, twende na Kabwili na tuunge unge na Dante, Mungu yupo upande wetu...ila tutafute mbadala wao fasta....kufuga Nyoka ni hatari sana.....sintofahamu yaendelea kuikumba YANGA Fc, kakolanya na yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi. vs TANZANIA PRISON
yanga yenye point 35,ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa ligi
MY TAKE; kwa nini uongozi usituweke waz, tupime endapo wachezaji ndiyo wanatumika kuihujumu timu au la timu yenyewe ndiyo inayowahujumu, wachezaji hao.?
anyway naiombea leo ushindi yanga, mbele ya maafande wa magereza.
Pamoja na kutatua Changamoto lkn kuchukua tahadhari kwa Nyoka ni muhimu....Nyoka tukikosa ama kupungukiwa chakula cha kumlisha atatudhuru na kutuangamiza....kufuga Nyoka ni hatari sana.....sio kwamba tutatue changamoto inayotukabiri?
Sasa hivi sio kununua mechi tena, imekuwa upepoMkuu hii ngekewa itaisha Yanga timi mbovu Sana upepo unawaokoa
Tupatie matokeo mkuuYanga wazee was kubahatisha Leo wanachezeshwa kwata na wajelajela pale sokoine
Ikiwezekana hata unahodha Yondani apokonywe! Akiwa kiongozi wa wachezaji alipaswa kudai madai yake huku akiwa kazini na kusaidia kuwapa moyo wachezaji wengine!Pamoja na kutatua Changamoto lkn kuchukua tahadhari kwa Nyoka ni muhimu....Nyoka tukikosa ama kupungukiwa chakula cha kumlisha atatudhuru na kutuangamiza....kufuga Nyoka ni hatari sana.....