Yanga kuwakosa nyota wake wawili dhidi ya Tanzania Prisons Dec-03.2018

Yanga kuwakosa nyota wake wawili dhidi ya Tanzania Prisons Dec-03.2018

Kobello una uhakika mikataba hailipi, take imagine kama mkataba na yanga haulipi je alliance fc na biashara mara fc itakuwaje?
Namaanisha kuna watu waliingia mkataba na hao wachezaji (kamati ya usajili) chini ya uongozi wa watu binafsi ambao sasa hawawezi kutoa fedha zao za mfukoni kwa sababu mbalimbali.
Wamesajiliwa kwa pesa ndefu kuliko matokeo. Bora tu wake benchi tutaonana mbele kwa mbele, waache madogo wacheze mpira.
Kama Ngoma, naye alikuwa halipi, kasajiliwa kwa hela nyingi lakini matokeo sivyo hivyo.
 
sintofahamu yaendelea kuikumba YANGA Fc, kakolanya na yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi. vs TANZANIA PRISON

yanga yenye point 35,ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa ligi

MY TAKE; kwa nini uongozi usituweke waz, tupime endapo wachezaji ndiyo wanatumika kuihujumu timu au la timu yenyewe ndiyo inayowahujumu, wachezaji hao.?
anyway naiombea leo ushindi yanga, mbele ya maafande wa magereza.
Hao Nyoka wawili waondolewe wasije leta madhara ktk timu, twende na Kabwili na tuunge unge na Dante, Mungu yupo upande wetu...ila tutafute mbadala wao fasta....kufuga Nyoka ni hatari sana.....
 
Pamoja na kutatua Changamoto lkn kuchukua tahadhari kwa Nyoka ni muhimu....Nyoka tukikosa ama kupungukiwa chakula cha kumlisha atatudhuru na kutuangamiza....kufuga Nyoka ni hatari sana.....
Ikiwezekana hata unahodha Yondani apokonywe! Akiwa kiongozi wa wachezaji alipaswa kudai madai yake huku akiwa kazini na kusaidia kuwapa moyo wachezaji wengine!
 
Back
Top Bottom