Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Namaanisha kuna watu waliingia mkataba na hao wachezaji (kamati ya usajili) chini ya uongozi wa watu binafsi ambao sasa hawawezi kutoa fedha zao za mfukoni kwa sababu mbalimbali.Kobello una uhakika mikataba hailipi, take imagine kama mkataba na yanga haulipi je alliance fc na biashara mara fc itakuwaje?
Wamesajiliwa kwa pesa ndefu kuliko matokeo. Bora tu wake benchi tutaonana mbele kwa mbele, waache madogo wacheze mpira.
Kama Ngoma, naye alikuwa halipi, kasajiliwa kwa hela nyingi lakini matokeo sivyo hivyo.