Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard
Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8
Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka akimlalamkia
Kinachokuja mjiandae na WASAIDIZI WAMEJIPANGA na wamepangwa kuwaumiza
Na njia Moja wapo n offside /FOULS
Hasa pale mnapoenda kwenye GOLI LA wapinzani
Mkiona kibendera mara kwa mara mkumbuke hili kazi imeaanza na cha kufanya
Msireact chezeni kama mmetumwa helà uwanjan...unless pale panapopitiliza kiwasheni
Mkikaaa kimya wamepangwa KUWATESA sana ...na hili n ktk kupunguza magoli YENU kwa Simba sikuhio
Simba inajua inafungwa sema inatafyta huruma kupitia Hawa kupunguza idadi ya magoli
Kingine NAWAASA pale mnaweza kupiga mashuti ya mbali fanyeni hivyooooo
Hii n kuwajuza kuna foul nyingi zitapigwa filimbi MKIWA 18 yah Simba na hii n kuwakayTsha TAMAA
Mwisho nawatakia all dbest