GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Subiri mshooono uje hapa ta 9
GOLI n 1-4
Hii weka kwenye diary yakoooo
Mtajua hamjuui
Utopwinyo mlizidiwa ubora na wale waarabu na safari yenu ikaishia makundi...Akuna cha kujenga timu hapo ukipigwa ni umepigwa kwa kuzidiwa ubora na mambo ya kimbinu
Basi tuliza kende akuna haja ya maneno mengi subilia iyo trh 8 itajulikana wazee na vijana nani mbabe!Miaka imesha taradadi bwashee , Waliwahi kuwa vijana huko nyuma Sasa ni Wazee..!!
Hawa Kwa sasa Wanafaa kucheza mechi za Veterani..!
CAF CL...umeshatolewa nje , hujafika Robo...! Ni Aibu Kwa Uto.
Kete yako pekee ni tarehe 8, baada ya hapo tutaimba Kalale pema peponi Kamanda..!
Ni kweli kabisa walioingia robo ya woman's cup ni hatari sanaUtopwinyo mlizidiwa ubora na wale waarabu na safari yenu ikaishia makundi...
Walioingia robo fainali hao ndio wakali wa boli Mr 🐸
Mende kuangusha kabati usidhani ndio msaafu kwamba itatokea Tena,,jificheni kwenye kichaka cha tabora mpate kupunguza maumivuKama mlivyopigwa na tabora united chuma 3 kwa moko?
Ilikuwaje utopwinyo mkakomalia women cup hadi fainali?Ni kweli kabisa walioingia robo ya woman's cup ni hatari sana
Tulikomalia na tukafika fainali cha ajabu unapiga makelele kwa kuingia robo utadhani ni jambo jipya,,wenzio walicheza fainali ya iyo wamama cup na wewe kama unayo timu fika fainali tuoneIlikuwaje utopwinyo mkakomalia women cup hadi fainali?
🐸🐸Katika uzuzu wenu
Mende kuangusha kabati usidhani ndio msaafu kwamba itatokea Tena,,jificheni kwenye kichaka cha tabora mpate kupunguza maumivu
Bahasha imetembea kwa waamuz wa pembeni mna uhakika na ushindi sioKUNA jamaa ANASEMA mpaka sasa wametumwa watu ZNZ Tanga ukerewe na kigoma
Kila anaeguswaa anawajibu haisomeki wawape mda nikawambia hao wanasubiria tar 7 wawalie mzigoo wenu mjue mnashinda
KIPIGO Kiko pale pale MKONO mara ya tanooo
Kiganja kiganjani
Ahaaahaaa wamama mkakomalia kombe la wamama halafu hamkulipata 😬😬Tulikomalia na tukafika fainali cha ajabu unapiga makelele kwa kuingia robo utadhani ni jambo jipya,,wenzio walicheza fainali ya iyo wamama cup na wewe kama unayo timu fika fainali tuone
Uongo Nyerere Hajawai Kuujua Umasikini Wa Fira!Mnawaza simba na Yanga tu inasikitisha mno.
" Hakuna umasikini mbaya kama Umasikini wa Fira"
MWALIMU JK NYERERE