Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Bas utaona dhuluma na haki ipi itashinda mwaka huuKumma wewe
Umeishadhulumiwa nn wewe!
Wanasahau mwaka huu ni tofauti kabisaYanga kuna namna wameshindwa kusoma alama za nyakati, wakati ambao pana mwamko mkubwa wa kisiasa wao walipaswa kujiweka mbali na mambo ya siasa lakini wakawa wa kwanza kutoa michango.
Kitengo cha digital kuna namna kimekua epicenter ya uchawa na kujikomba kwa watawala yaan juzi kati msemaji wa Gavo katoa kauli ya hovyo kuhus utekaji Yanga wao wanampost tena.
Haya maneno yanauma Sana kwetu mashabikiYanga imelaanika. Timu inayojionesha wazi kabisa kuwa inafurahia watanzania kutekwa na kuuawa, mwanadamu upendaye haki, unayejua thamani ya uhai wa mwanadamu mwenzake, atajifungamanishaje na timu kama hiyo? Yanga ibakie tu kuwa sehemu ya kundi la wadhulumaji haki za wanadamu, sawa na wale greenguards watekaji na wauaji.
Kuna uhusiano gani? Team mbovu tuMtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.
Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa.
Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa.
Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
Dhuluma haichangamani na haki mwezi huuKuna uhusiano gani? Team mbovu tu