Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Atakuwa kaachwa na bwanake.Wewe jamaa mbona unashoboka na Yanga hivyo?
Punguza ushamba basi. Mamelod ni timu ya kawaida tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kaachwa na bwanake.Wewe jamaa mbona unashoboka na Yanga hivyo?
Punguza ushamba basi. Mamelod ni timu ya kawaida tu.
Kabisa yaani.Na hua hatukosei
Ajabu kazi yao ni kukimbia
Yah! Ni kweli kabisa.Hiki ndio kipindi kizuri sana Cha kukusanya mafaili , upo muda watakimbia mafichoni kama kawaida Yao.
Yanga na mamelodi ndiyo mechi kubwa Kwenye Caf champions league 2024 Kwenye ngumi tunaita main event hizi nyingine za kina asec, Al ahly na wengine ni utanguliziHuu ni uzi wa 20 kwa leo tu kuongelea Yanga na Mamelodi. Mnajisahaulisha kuhusu Al Ahly.