Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Believe in me or not, Engineer Hersi is very very serious, amefanya utafiti wao wana nn na sisi tuna nini, kijana mdogo lkn ana mambo mazito, kufungwa yanga Leo sioni.
Na Leo yanga akishinda nawaapia anakwenda nusu final au final.
Nyie endeleeni kutangaza kocha wa mchongo Leo saa 1.
Kesho kazi mnayo hapo Taifa
Nikosoe kwa hoja sio matusi.
Na Leo yanga akishinda nawaapia anakwenda nusu final au final.
Nyie endeleeni kutangaza kocha wa mchongo Leo saa 1.
Kesho kazi mnayo hapo Taifa
Nikosoe kwa hoja sio matusi.