Yanga kwa namna walivyojipanga leo atashinda au draw

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Believe in me or not, Engineer Hersi is very very serious, amefanya utafiti wao wana nn na sisi tuna nini, kijana mdogo lkn ana mambo mazito, kufungwa yanga Leo sioni.

Na Leo yanga akishinda nawaapia anakwenda nusu final au final.

Nyie endeleeni kutangaza kocha wa mchongo Leo saa 1.

Kesho kazi mnayo hapo Taifa
Nikosoe kwa hoja sio matusi.
 
Ni swala la mda tu uzuri huko hakuna mapepo
 
Believe in me or not, Engineer Hersi is very very serious, amefanya utafiti wao wana nn na sisi tuna nini, kijana mdogo lkn ana mambo mazito, kufungwa yanga Leo sioni.

Na Leo yanga akishinda nawaapia anakwenda nusu final au final.

Nyie endeleeni kutangaza kocha wa mchongo Leo saa 1.

Kesho kazi mnayo hapo Taifa
Nikosoe kwa hoja sio matusi.

Nadhani umetoka kunywa pombe inayoitwa ‘ pingu’ ndiyo ukaingia humu!
 
Believe in me or not, Engineer Hersi is very very serious, amefanya utafiti wao wana nn na sisi tuna nini, kijana mdogo lkn ana mambo mazito, kufungwa yanga Leo sioni.

Na Leo yanga akishinda nawaapia anakwenda nusu final au final.

Nyie endeleeni kutangaza kocha wa mchongo Leo saa 1.

Kesho kazi mnayo hapo Taifa
Nikosoe kwa hoja sio matusi.
Bado Uto...wana muda wa kujirekebisha na kufanya vizuri.
 
Yanga mna timu nzuri lakini jaribuni kuuheshimu mpira .
Aisee umenena mkuu watu wanachukulia mpira kirahisi sijawahi kuona yanga wakisema kuwa tuna Mechi ngumu mbele yetu😃
 
Back
Top Bottom