Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana.
Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida ikawa goal keeper alijisahau akaharibu move. Kwa kweli Chama amekuwa akitunyima raha toka siku ile na watu wametumia muda mwingi kujadili goal lake mpaka kero.
Tunataka nasi tumwoneshe Rio Ferdinandi kabla hajaondoka goal letu. Maana imekuwa shida. Lakini tunajiuliza je Chama hatumii madawa ya kusisimua misuli kweli? Ni kama anaendelea kutumua huyu mbwa. Maana si kwa kujitutumua huko toka amerudi kwa Mikia.
Tunajua na tutanwaribia maana kwa umri wake na mambo anayo yafanya si kawaida.