Yanga hali si shwari tena.
Kambi mbili zinavutana.
Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela)
Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo)
Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale Samora Tower sio tena jangwani.
Haji Manara aliletwa na GSM huku viongozi wakiwa hawana furaha. Antonio Nugaz anawekwa pembeni, kina Msolwa hawana na kusema.
Muda si mrefu tutaanza kupata yaliyomo yamo.
Watamwaga mboga muda si mrefu. Mauzo ya JEZI yatawekwa wazi na hapo ndio tutajua janja janja zote.
Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.
Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?
GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.
Yajayo yanafurahisha. Mboga inamwaga muda si mrefu.