rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
hii Habari ingekuwa inaihusu simba ungesikia matakataka yao yakiongozwa na kitenge yanavyoangaika kuwatafuta viongozi wa simba na kuwauliza maswali ila kwa sababu inahusu timu yao yapo kimya