Yanga Kwafukuta

Yanga Kwafukuta

Yaani hapo tatizo ni pesa tu aisee kwa sababu jiesiemu kamleta manara na senzo kwa kazi maalum mbili tu kwanza kuwatuliza mashabiki na kupata faida ya haraka kwa pesa anazozitoa .....
Na hivyo vyote kafanikiwa....

Sasa uongozi hauna sauti kwa sababu ya pesa.

Na jeuri ya kumfukuza jiesiemu haipo ila kinachotakiwa kufanyika ni utatatibu wa uwekezaji hapo klabuni ufanyike kwa weledi.....

Kipindi hiki haiwezekani kumzuia jiesiemu na yeye anajua mambo yakikaa kwa utaratibu atakuwa kachelewa...
Muacheni apige pesa kama mwamwedi
 
Ifike mda mwenye pesa aachiwe timu.
Haya mambo ya unazi sijui yanga damu cjui nn na nn yamepitwa na wakati.

GSM ameweka pesa,
Ni vizur akipata faida.

Mpira ni pesa
 
Yanga hali si shwari tena.

Kambi mbili zinavutana.

Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela)

Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo)

Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale Samora Tower sio tena jangwani.

Haji Manara aliletwa na GSM huku viongozi wakiwa hawana furaha. Antonio Nugaz anawekwa pembeni, kina Msolwa hawana na kusema.

Muda si mrefu tutaanza kupata yaliyomo yamo.

Watamwaga mboga muda si mrefu. Mauzo ya JEZI yatawekwa wazi na hapo ndio tutajua janja janja zote.

Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.

Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?

GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.

Yajayo yanafurahisha. Mboga inamwaga muda si mrefu.
Acheni udwanzi yanga pametulia kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hapo tatizo ni pesa tu aisee kwa sababu jiesiemu kamleta manara na senzo kwa kazi maalum mbili tu kwanza kuwatuliza mashabiki na kupata faida ya haraka kwa pesa anazozitoa .....
Na hivyo vyote kafanikiwa....

Sasa uongozi hauna sauti kwa sababu ya pesa.

Na jeuri ya kumfukuza jiesiemu haipo ila kinachotakiwa kufanyika ni utatatibu wa uwekezaji hapo klabuni ufanyike kwa weledi.....

Kipindi hiki haiwezekani kumzuia jiesiemu na yeye anajua mambo yakikaa kwa utaratibu atakuwa kachelewa...
Muacheni apige pesa kama mwamwedi
100%

Mwenye pesa apewe timu.

Sisi mashabiki furaha yetu timu ifanye vzuri.

Wanachama pia watoe michango ili ndio chanzo cha mapato.
 
Alaaa kumbeeee,,,, ndo mana msolla kawaleta wazee wa nongwa akina mosha, magari, na bin kleb wale wazee wa nongwa ili kujiprotect mana GSM kaomba lift anataka kupiga na honi kabisa, usitake kuniambia wale jamaa wameletwa na GSM,, sidhani kama yanga damu wamefurahi ujio wa manara,, bado kudundana tu ni suala la muda, watajijua wenyewe mama j fc
 
Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.

Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?

GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.
Hapa ndio mnapigwa vyura nyie 😎 😎
 
Yanga hali si shwari tena.

Kambi mbili zinavutana.

Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela)

Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo)

Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale Samora Tower sio tena jangwani.

Haji Manara aliletwa na GSM huku viongozi wakiwa hawana furaha. Antonio Nugaz anawekwa pembeni, kina Msolwa hawana na kusema.

Muda si mrefu tutaanza kupata yaliyomo yamo.

Watamwaga mboga muda si mrefu. Mauzo ya JEZI yatawekwa wazi na hapo ndio tutajua janja janja zote.

Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.

Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?

GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.

Yajayo yanafurahisha. Mboga inamwaga muda si mrefu.
Kosa kubwa kuliko yote ya GSM ni hatua yake ya kumpa ajira Haji Manara.
Haji Manara alitumia muda mwingi wa utumishi wake ndani ya Simba akiitukana Yanga.

Urafiki wa Gharib na Manara yafaa uishie kwenye kampuni yake na si kumpeleka Yanga, maana Haji Manara ni mwanachama wa Simba.

Kwa wanaujua historia ya timu hizi mbili, alichofanya Gharib kitaivuruga zaidi Yanga kuliko anavyotarajia
 
100%

Mwenye pesa apewe timu.

Sisi mashabiki furaha yetu timu ifanye vzuri.

Wanachama pia watoe michango ili ndio chanzo cha mapato.
Lakini pamoja na GSM kuweka pesa lakini mimi binafsi naona kuna kitu hakipo sawa. Kwanini utekelezaji wa mabadiliko haufanyiki kwa haraka? Katiba mpya tayari, wadau na mashabiki wa Yanga tayari wameshabariki mchakato. Asa ni nini kinacholeta ugumu hili la kuwapa timu wawekezaji kutokukamilishwa kwa wakati kabla ya kuingia msimu mpya?
 
Hili jambo linahitaji mda.
Haiwezekani kwa mda mfupi.

Ndio maana wanasema transformation..

Itachukua mda kidogo
Kuna mambo yanawekwa sawa.
Ila mm na ww tutajuzwa baadae.
 
Yanga mlichonishangaza ni pale mnapomtimua Nugaz mwenye uchungu na Yanga (Alimwaga michozi pale Kigoma Yanga ilipofungwa na Simba)

Mnamuamini Haji mwanachama wa Simba tangu utotoni ambaye bado hajatamka kuacha uanachama wake Simba.
 
Back
Top Bottom