hizi ni habari za ndani sana jikoni
Acheni udwanzi yanga pametulia kabisaYanga hali si shwari tena.
Kambi mbili zinavutana.
Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela)
Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo)
Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale Samora Tower sio tena jangwani.
Haji Manara aliletwa na GSM huku viongozi wakiwa hawana furaha. Antonio Nugaz anawekwa pembeni, kina Msolwa hawana na kusema.
Muda si mrefu tutaanza kupata yaliyomo yamo.
Watamwaga mboga muda si mrefu. Mauzo ya JEZI yatawekwa wazi na hapo ndio tutajua janja janja zote.
Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.
Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?
GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.
Yajayo yanafurahisha. Mboga inamwaga muda si mrefu.
100%Yaani hapo tatizo ni pesa tu aisee kwa sababu jiesiemu kamleta manara na senzo kwa kazi maalum mbili tu kwanza kuwatuliza mashabiki na kupata faida ya haraka kwa pesa anazozitoa .....
Na hivyo vyote kafanikiwa....
Sasa uongozi hauna sauti kwa sababu ya pesa.
Na jeuri ya kumfukuza jiesiemu haipo ila kinachotakiwa kufanyika ni utatatibu wa uwekezaji hapo klabuni ufanyike kwa weledi.....
Kipindi hiki haiwezekani kumzuia jiesiemu na yeye anajua mambo yakikaa kwa utaratibu atakuwa kachelewa...
Muacheni apige pesa kama mwamwedi
Iwe pametulia au hapajatulia.
Hapa ndio mnapigwa vyura nyie 😎 😎Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.
Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?
GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.
Angalia hoja zake bila kujali yeye ni nani.Wewe utakua ni Antonio Nugaz bila shaka!! Maana una kila dalili za kuwa yeye.
GSM alipokosea ni kumleta Manara, kwenye mambo mengine yupo sawaIfike mda mwenye pesa aachiwe timu.
Haya mambo ya unazi sijui yanga damu cjui nn na nn yamepitwa na wakati.
GSM ameweka pesa,
Ni vizur akipata faida.
Mpira ni pesa
Kosa kubwa kuliko yote ya GSM ni hatua yake ya kumpa ajira Haji Manara.Yanga hali si shwari tena.
Kambi mbili zinavutana.
Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela)
Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo)
Upande wa wananchi wanahisi mamlaka yao yanapokwa kila kukicha. Sasa hivi mambo ya uendeshaji yanafanyika pale Samora Tower sio tena jangwani.
Haji Manara aliletwa na GSM huku viongozi wakiwa hawana furaha. Antonio Nugaz anawekwa pembeni, kina Msolwa hawana na kusema.
Muda si mrefu tutaanza kupata yaliyomo yamo.
Watamwaga mboga muda si mrefu. Mauzo ya JEZI yatawekwa wazi na hapo ndio tutajua janja janja zote.
Mapato ya siku ya wananchi yameenda wapi? Tutajua muda si mrefu.
Kwa nini GSM anajipa majukumu ya uongozi wakati yeye ni mdhamini kama wadhamini wengine pale Yanga?
GSM pia ni mzalishaji na muuzaji wa JEZI za Yanga. Mbona mkataba hauwekwi wazi.
Yajayo yanafurahisha. Mboga inamwaga muda si mrefu.
Lakini pamoja na GSM kuweka pesa lakini mimi binafsi naona kuna kitu hakipo sawa. Kwanini utekelezaji wa mabadiliko haufanyiki kwa haraka? Katiba mpya tayari, wadau na mashabiki wa Yanga tayari wameshabariki mchakato. Asa ni nini kinacholeta ugumu hili la kuwapa timu wawekezaji kutokukamilishwa kwa wakati kabla ya kuingia msimu mpya?100%
Mwenye pesa apewe timu.
Sisi mashabiki furaha yetu timu ifanye vzuri.
Wanachama pia watoe michango ili ndio chanzo cha mapato.
Hili jambo linahitaji mda.Lakini pamoja na GSM kuweka pesa lakini mimi binafsi naona kuna kitu hakipo sawa. Kwanini utekelezaji wa mabadiliko haufanyiki kwa haraka? Katiba mpya tayari, wadau na mashabiki wa Yanga tayari wameshabariki mchakato. Asa ni nini kinacholeta ugumu hili la kuwapa timu wawekezaji kutokukamilishwa kwa wakati kabla ya kuingia msimu mpya?
GSM anataka jezi zitoke.GSM alipokosea ni kumleta Manara, kwenye mambo mengine yupo sawa
Ni full Kizunguzungu.....
Zitatoka kwa kitambo kifupi, badae atatoka yeye na Haji wake.GSM anataka jezi zitoke.
[emoji23]