Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar.

Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na Stadium yenu nzuri tu msingekuwa mnahangaika kwenye maeneo ya watu.

Eneo lilikuwa na Hati kabisa.

Au eneo lina mgogoro, au ni eneo hewa.


View: https://youtu.be/HwhJhbKyU6A?si=5Yl5z-G8GEaCkcVj


View: https://youtu.be/-u7Cd1GJ3kk?si=dKpGUwehdreZjgOw


View: https://youtu.be/vdDpwlrBkvY?si=LRVaSwUyqDAHljlS



View: https://youtu.be/0rrNGMyjRrM?si=G4uy3QLrLXY7qRGj


View: https://youtu.be/fnIhB4am9TY?si=C-T9xQ-_l8EmHctn



View: https://youtu.be/bNm5rP6YVt0?si=5gJy5L8WGuCYNste




View: https://youtu.be/LRI2PJhKFaM?si=_R2YBsPktJqU8X_V




View: https://youtu.be/V5koObTChwU?si=D0WK8SuI9v6oAFm5
 
Au hili eneo lilikuwa na mgogoro, au ni eneo hewa.
 
Eneo la Yanga kilikuwa na ukubwa wa ekari 7

Lilikuwa Kisarawe II, Kigamboni, Dar es salaam
 
Eneo lipo limejaa tele, sema limekaa kushoto kweli kufikika, ila kama wakitaka maeneo mbona yapo mengi tu Kigamboni, wanunue wajenge
 
Kuna mambo huwa yanahuzunisha sana. Yaani Yanga iliyoanzishwa mwaka 1935, ni timu ya kuhemea viwanja vya Azam Complex na KMC! Timu zilizoanzishwa miaka ya 2000's!!!

Halafu viongozi walisema kabla ya mwezi April mwaka huu wa 2024, ujenzi wa uwanja wa klabu, ungeanza!! Cha kushangaza sasa hivi tupo mwezi wa 11! Hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom