Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba.

Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama ikiwemo kulipa kuvunja mkataba wa foreigner.

Sawa mwenda hamumtaki
Nashon hamumtaki
Lawi hamumtaki

Sema ni mchezaji gani asajiliwe Yanga kuipa team nguvu usiwe mtu wa lawama tu kila siku
 
Akifungisha msije mkasema ni mamluki wa simba.
 
Kama Engineer anapitia uku jamiiforum namshauri yeye na wenzake waka mchukue Lamso wa KMC yule Dogo ata kwenda kumpa changamoto ya kutosha Yao Kwasi.
Dogo amekamilika anastahili kucheza timu ya Mabingwa.
 
Back
Top Bottom