Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

Sure boy hamna kitu kabisa yaani.Siku Aucho hayupo timu inacheza papatu papatu pale kati kunakosa utulivu.

Viongozi yanga fanyieni kazi mapungufu haya.

Ikiwezekana Sure boy tumuache aende amekwisha na msaada wake hauhitajiki tena pale jangwani.
Acha utan aisee, yaan kabisa Sure boy aachwe
 
SURE BOY amna mtu pale. mid field Aiwezi kabisa. Ana kila kitu wrong with the mid field. poor positioning, poor passing, poor long balls, poor defensive, poor tackling. yani amna mtu. I love Mkude na ni bora kuliko farid ina alot of ways
Basi nimeshajua sasa kuwa
HUJUI MPIRA.

Farid lini alicheza namba 6?
 
SIMBA BALL ni ile ile . no changes ( haram ball) so i have less to comment on a broken team. yanga in other side. created the atmosphere of good football that I can watch. when I dont see that quality, I question it.
Kwenye nyuzi zako ulishawahi kuandika Yanga timu mbovu, je kuna uzi wowote uliowahi kukiri Simba ni mbovu? Au ulishawahi hata kuisifia Yanga? Wewe ni mkosoaji mkubwa wa Yanga, hauna tofauti na wale wanaoitwa haters. Unaangalia mechi ya Yanga ili utafute dosari ukaanzishie nyuzi. Una mentality ya hovyo sana wewe jamaa.
 
1. NI HATER

2. it has to be said. yanga wana team nzuri sana sema wanashida ya quality consistence

3. SIMBA NI TIMU MBOVU SANA. KILA KITU KIBOVU
 
Unasema leo? Vipi ule uzi wa Gamondi kocha mbovu na Yanga timu mbovu je umeshaomba mods wakufutie?

Hiyo quality consistence unaipima kwenye mechi ya leo au kwanzia lini?
Kama unasema mechi ya leo basi hujui mpira.
Hakuna Pacome, Hakuna Diarra, hakuna Aucho, Hakuna Musonda na hakuna Lomalisa halafu unataka timu icheze mpira wa siku zote! Wewe kweli hater
 
1. yanga played better In zanzibar than today. leo mpira ulikuwa wa ovyo sana

2. nimewai andika barua fifa kisa simba na rushwa zao. sasa kusema yanga ni uitaji consistence. sio issue. sema i watched alot of yanga games. this year.
 
Walicheza vizuri Zanzibar dhidi ya nani? huko Zanzibar si ilitolewa pamoja na huko kusema wamecheza vizuri. leo wamecheza ovyo ila wameshinda goli tatu na point tatu. Kwasasa Yanga ina hitaji point tatu kuliko kucheza mpira wa aina gani. Kama umeshindwa kujua kwanini mpira ulikuwa vile leo basi Yanga bado haujaijua.
 
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.

Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote.

yanga can do better. wanajua ball ni swala la moral kama imeshuka vile over achievement kama Bayern Munich back in the days.

Huu ndo ukweli. Acha kukaza kichwa.
namungo akacheza vibaya zaidi dah 🐒
 
Walicheza vizuri Zanzibar dhidi ya nani? huko Zanzibar si ilitolewa pamoja na huko kusema wamecheza vizuri. leo wamecheza ovyo ila wameshinda goli tatu na point tatu. Kwasasa Yanga ina hitaji point tatu kuliko kucheza mpira wa aina gani. Kama umeshindwa kujua kwanini mpira ulikuwa vile leo basi Yanga bado haujaijua.
Kwamba bad ball for the sake of results. yanga ya gamondi it's all about entertainment football.
 
SIMBA BALL ni ile ile . no changes ( haram ball) so i have less to comment on a broken team. yanga in other side. created the atmosphere of good football that I can watch. when I dont see that quality, I question it.
We mpira hujui? Hujui kuna injury,kila si lazima timu icheze vizuri, halafu wachezaji wote wale wamesajiliwa ili wacheze.

Timu imecheza vibaya?
1.Imetengeneza ontarget na offtarget ngapi zidi ya Numungo?
2.Imetengeneza kona ngapi.
3.Offside ngapi.
4.Ball Possession ngapi.

So chambua mpira kama hivyo sio kujaza hisia zako na kama mpira uwezi kashangilie netball, atleast utaona chupi za kina dada ila mpira ww huujui.

Ma ukiona netball haikufai kachambie marede.
 
1. yanga played better In zanzibar than today. leo mpira ulikuwa wa ovyo sana

2. nimewai andika barua fifa kisa simba na rushwa zao. sasa kusema yanga ni uitaji consistence. sio issue. sema i watched alot of yanga games. this year.
We kiazi kweli FIFA anakujua nani,kwamza mpira wenyewe hujui.
 
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.

Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote.

yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern Munich back in the days.

Huu ndo ukweli. Acha kukaza kichwa.
Huyo sure boy tunayemlaumu kwenye hiyo mechi alifanya kosa gani? Mbona kushambuliwa ni kawaida tu hata huyo Aucho akiwepo? Mechi ya Prison Aucho alikuwepo mbona ilikuwa ngumu kuzidi hata ya Namungo na hata ile ya Mashujaa Chamazi. Sure boy alipiga kazi nzuri tu, tuache poyoyo.
 
We mpira hujui? Hujui kuna injury,kila si lazima timu icheze vizuri, halafu wachezaji wote wale wamesajiliwa ili wacheze.

Timu imecheza vibaya?
1.Imetengeneza ontarget na offtarget ngapi zidi ya Numungo?
2.Imetengeneza kona ngapi.
3.Offside ngapi.
4.Ball Possession ngapi.

So chambua mpira kama hivyo sio kujaza hisia zako na kama mpira uwezi kashangilie netball, atleast utaona chupi za kina dada ila mpira ww huujui.

Ma ukiona netball haikufai kachambie marede.
Hizi siasa in football , team ikicheza vibaya imecheza vibaya . All these injury ni bla bla . Ila Jana it was poor play . Luck yanga won . Mpira aujifichi. . Simba anaongoza Pasi Lakin mpira mbovu .
 
Sure boy hamna kitu kabisa yaani.Siku Aucho hayupo timu inacheza papatu papatu pale kati kunakosa utulivu.

Viongozi yanga fanyieni kazi mapungufu haya.

Ikiwezekana Sure boy tumuache aende amekwisha na msaada wake hauhitajiki tena pale jangwani.
Sure NI juzi Tu uongozi wa Yanga umemuongeza mkataba wa miaka miwili Kwa mapendekezo ya kocha.

Swali, wewe na kocha Nani anawajuwa wachezaji? Vijambio vikiwawasha siyo muwe mnakuja kujamba ushuzi kunuka JF.
 
Back
Top Bottom