G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Timu ya Wananchi Yanga inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna.
Hivi nyie Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? Mmekimbia leo kwenda wapi au hamkuwa na ratiba?
Rudini muanzishe uzi, leo ushindi upo.
Cc. Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? Mmekimbia leo kwenda wapi au hamkuwa na ratiba?
Rudini muanzishe uzi, leo ushindi upo.
Cc. Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app