G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Lawama zote kwa yule mcheza mieleka IPETimu ya wananchi inacheza jamani, cha ajabu leo hata ka uzi kakuonesha kuwa wananchi wapo mawindoni hamna, ivi nyie, Yanga ni timu yenu ikiwa na matokeo mazuri tu? mmekimbia leo kwenda wapi au hamkuwa na ratiba? rudini muanzishe uzi, leo ushindi upo. cc shadeeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgosi leo lazima atafune churaYANGA akili kubwa, kuna uzi wa Yanga hapa ndio tunapeana update, mambo ya kuanzisha uzi kila mechi ni ushamba
Nipo nao hapa wametulia kama wanaangalia PILAUHata kwenye vibanda hawaonekani,wamezira
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Yanga pelekeni malalamiko kwa Backresa,mtangazaji wake Azam anawakejeli eti mnapata dabo dabali. haaaa haaa